Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 581
Wasamehewe Maisha Yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ni vizuri ukachangia hoja iliyo mezani , wakati haukusubiri usije ukajutia muda wako , kamati inapitia uzi huu ili kukusanya maoni na kuyafanyia kaziMkuu, ni haki yako kujitia moyo, magufuli anachukua uraisi very very very soon, stay tuned mkuu
Corona bado ipo sana hapa, wacha kutumiwa kama kipaza sautiMadaraka yapi unayaongelea Mkuu,? Madaraka ya kusema CORONA ipo huku ukiendelea kufanya mikusanyiko ya kusaka wazamini?????
Jiwe kesha enguliwa tayari, jiandaeni kisaikolojia kutawaliwa na upinzani chini ya mtume LissuKweli mkubwa Lissu atakuwa Rais wa Mioyo ya Nyumbu, JPM ataendelea kuwa Rais wa Tanzania.
Ushauri wako utafanyiwa kaziTunataka maendeleo na demokrasia, visasi havijengi!
😅
👊 ✌✌✌💥
Unaruhusiwa kuandika tenaWasamehewe, japo hawezi kutwaa madaraka.
My opinion.
Hamtakaa, mtwae madaraka, ukiweza nikumbushe hata baada ya uchaguzi.Unaruhusiwa kuandika tena