Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya.

Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi.

Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani.

Leo ni zamu ya kuondolewa mashindanoni kwa mabingwa wa kihistoria, Real Madrid.

Leo pale katika dimba la Wanda Metropolitano kuna bonge la mbungi.

Atletico Madrid watakuwa wanawakakaribisha majirani zao Real Madrid.

Naona kabisa leo Diego Simione akiiongoza Atletico kwenda hatua ya robo fainali. Tutakuwepo
 
Huo umasikini wako wa makombe ya UEFA ndo unafanya uwe na roho ya kichawi hivyo?
Hata kama Real Madrid wakitolewa Leo ndo watafanana na timu yako? Kwa hizi lamli kama vp anzisha tu kilinge tujue moja.
Nenda ukapakatwe
 
Bila hisia ukitizama mpira vizuri utajua kuwa Atletico wana defense nzuri na wanahold mpira na attacking threat yao ni kubwa.
Niko na Atletico leo.
rodrygo,vini,mbappe...hiyo defence yako itatia huruma leo usiku
 
asipocheza madrid inashinda goli nyingi , bado hakuna balance nzuri kati ya Vini , rodrigo na mbape , ni either kati ya mbape na vini asicheze mmoja ndo matokeo yanaonekana ,
Yaap na kubaliana wewe hata mimi nilikiona hiki kitu,Mbape anapata tabu sana kishazoea kutokea kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…