Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Pombe mbaya sana, unaweza kumheshimu MTU kumbe hovyo, ukiandika usome kabla ya Ku Post
 
Mayala kwa lugha ya kina Magufuli ni Njaa.
Ni kweli Mayalla maana yake ni njaa ila sio njaa ya tumbo ambayo tiba yake ni shibe, yaani mtu mwenye njaa, bali Mayalla ni baa la njaa, linalosababishwa na climate change, drought, famine.

Paskali
 
Yaani sisi badala ya kufikiria kutengeneza strong institutions ili ziongoze nchi yetu kama ilivyo kwa wenzetu,sisi tunahangaika na watu.Kumbe afadhari Mimi ambaye sijaenda shule maana kama watu walioenda shule mawazo yao ndo hata basi kutoenda shule sijapoteza kitu
 
Pombe mbaya sana, unaweza kumheshimu MTU kumbe hovyo, ukiandika usome kabla ya Ku Post
Naunga mkono hoja, pombe mbaya sana, ila kwa wengine pombe ndio kila kitu ndio maana ulikuwa ndio muujiza wa kwanza! .
Wengine wanaitumia hadi kwenye nyumba za Ibada in whatever the name be it divai, Damu ya Yesu.

Paskali
 
Ni kweli Mayalla maana yake ni njaa ila sio njaa ya tumbo ambayo tiba yake ni shibe, yaani mtu mwenye njaa, bali Mayalla ni baa la njaa, linalosababishwa na climate change, drought, famine.

Paskali

Ambalo likitokea na msukuma anakataa kuwa hakuna njaaa? Asante kwa ufafanuzi murua.
 
Naona unajenga hoja ya uraisi kubakia kanda hiyo mayala. Ulianza vzr ukamalizia vby sana. Anyway, sio rahsi. Na kama sio WIZI nakuhakikishia Mayala hata 2015 upinzani ungekuwa madarakani!
 
Huwa kuna siku nawewe huwa mropokaji mzuri sana na leo umethibitisha. Unasema makonda ni mpenda sifa /kujipendekeza, sasa akiwa raisi atajipendekeza wapi?, je kwa wazungu ili atumalize watz?. unamsifia halafu unamponda. Naona sasa mwl Pasco unautafuta ukuu wa wilaya, kazana ngosha atakuona.
 
Mkuu Batale, laiti ungalinijua!.

Paskali
 
Paskali your analysis is shallow! Quite shallow! Unless you are telling the opposite!
Mkuu Retired, shallowness ni relative kama lilivyo ganda la mua la jana.

Kama ilivyo maji nusu kwenye glass, ni half full or half empty na both are right.

Paskali
 
This is the dumbest thread kati ya zote ambazo Paskali ashawahi kuzitoa.
Hivi katika dhana ya ki uongozi, Makonda asha fanikisha kitu gani ku improve jiji la dar !!? Makonda ana sifa gani ya ki uongozi ya kumfanya awe rais!?
This is non sense kabisa.
 
Pascal Mayalla sijui umejibu hili pia?

 
Rais Ajaye ni Mwigulu Nchemba


Sisi EM wakimkata atahamia CDM na atashinda...


Ethos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…