Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Tupo akina sisi pia
P
 
Mkuu hawa wote wawili wanatumia hiki kitu kinaitwa heuristic technique jaribu kuigoogle...ni shortcuts kutafuta immediate results,tatizo linakuja ni nani anatumia hyo technique,ukiwa hauko vizuri mentally hutoiweza hii technique always you will end up in wrong hole...huku ukiwaumiza wenginee...they have to reason first then waendelee na kufanya
 
Ushuzi aliojamba Makonda unanuka ulaya nzima sasa ni mwendo wa kufutiwa misaada tu, kitakachofuata viza ban kwa Makonda.
 
raisi wa nchi au kiongozi achaguliwi kwa nguvu nyingi bali km kuna mkono wa mungu basi usishangae wewe ukawa raisi wetu baada ya magufuli tunachopaswa kutazama tunachoitaji ili kufikia malengo yetu,kiongozi ni alama ya taifa lkn sisi wananchi yatupaswa kutambua kutekeleza na kupigania yaliyo yetu.....
 
Bado macho na akili yangu haviamini kwamba huu uzi uliandikwa na brother Pascal Mayala. Brother chondechonde chutama kwa hiki ulichokiandika achilia mbali baada ya kuitwa kuhojiwa kule bungeni, bado naamini wewe ni mwanahabari makini ila sio kwa huu uzi maana tokea nauona mara ya kwanza unauandika sijaamini hadi sasa.
 

Mate nimeipenda hiyo statement ya superiority complex is a sign of inferiority complex.feel inferior but do more actions.ni kweli kabisa ukiona mtu anajitutumua ujue huyo hana kitu na anafanya hiyo ili watu wamwone wa maana.watu wanaojishusha huwa wanakwezwa hata Biblia kwa wale wakristo inanena hivyo na hakuna atakayebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…