Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,647
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.

Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.

Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.

Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.

Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?

Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.

Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?

Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
 
Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
 
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.

Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.

Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.

Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.

Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?

Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.

Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?

Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
Mbona umeishia kusema tulikosea kwa Kikwete, ulitakiwa kusema na kwa Magufuli pia tulikosea, woga wa watu kama wewe ndio umetufikisha hapa mnaogopa kusema ukweli kuwa huyu wa sasa ni afadhali ya Kikwete.
 
Mzee acha baba Jessica ajue ugumu wa kuupata uraisi ili atuheshimu watanzania, kwa sababu 2010 Kwenda 2015 baba Jessica hakuwekeza chochote katika kuunda kambi za ushindi kwaiyo 2015 pale Dodoma alivuma jasho la wenzie ndio maana baada ya kuupata urais, kajiona mungu mtu kajawa na kiburi dharau maamuzi ya ajabu ajabu ajui kuheshimu watu so acha wamtoe jasho kidogo pengine atajua thamani ya mpiga kura, mfanya biashara nk, acha wapambane
 
Mbona umeishia kusema tulikosea kwa Kikwete, ulitakiwa kusema na kwa Magufuli pia tulikosea, woga wa watu kama wewe ndio umetufikisha hapa mnaogopa kusema ukweli kuwa huyu wa sasa ni afadhali ya Kikwete.

Dhamira inamsuna wala haiwezi kumsuta
 
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.

Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.

Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.

Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.

Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?

Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.

Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?

Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
Gudeme Leo unenkwaza kwel,,yaan mwanzo wa mwaka wala membe hawafai kua maraisi!
 
Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
Nadhani urais ni kama heart transplant surgery. Hapa hakuna kubabaisha, ni kuwa unajua kisawasawa kufanya transplant hiyo, specialist doctor wa nguvu, tena sana! . Short of that unaua mtu instantly! Nchi yetu iko hivyo amepewa medical illiterate /lay man afanye heart surgery transplant, lazima wagonjwa wote wafe!
 
hata huyu wa sasa alibebwa tu yaleyale..

UPO SAHIHI KABISA MKUU

KINGUNGE

“Lakini yaliyotokea Dodoma safari hii ni mapya, kazi ya kupeleka majina matano ilifanywa na chombo kisicho na mamlaka, Kamati Kuu ilipewa majina bila kuwahoji wagombea. Kamati ya Maadili ni kitengo tu hakina nguvu zaidi ya Kamati Kuu, NEC au mkutano mkuu.

“Kitendo cha kuinyang’anya Kamati Kuu mamlaka yake ni kibaya, wanajiita kamati ya maadili wakati kamati yenyewe haina maadili, hii nchi ni yetu sote hata chama ni chetu sote wachache tuliowapa madaraka ndani ya chama na serikali wanadhani nchi ni yao,”

“Tunapomtafuta rais kupitia CCM ikumbukwe pia tunamtafuta mwenyekiti wa chama, maana yake tukimpata mgombea mwingine inabidi tuwe na kazi ya ziada kujifunza masuala ya chama. Mkasa huu wa viongozi wa chama na serikali kutumia nguvu nyingi kuzuia mapenzi ya wananchi wajue kuwa huyo waliyemkusudia hawatampata,” alisema.

JAMAA HAKUWAHI KUWA HATA MJUMBE WA NYUMBA KUMI
 
Kwangu mimi sioni sababu ya Membe kua rais siyo kwavile alibebwa hapana ila kwakua alihusishwa na mabulungutu ya noti yaliyokamatwa kule Dodoma.
 
Back
Top Bottom