GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
- Thread starter
- #121
kuongea unaongea tu maneno yote yanayotoka mdomoni ila akili ya kuongea mambo ya maana membe hana. hizo nafasi zooote alizopewa hata wewe ungeweza kupewa wala hazina shida. kwa nature ya wananchi wetu ukishakuwa ccm hata mbwa anaweza kupewa ubunge.... uwakilishi.so si kigezo. ni uwezo wako wa kipesa na pia chama kuamua kuwa uwe mbunge unakuwa.
akili za kuongea hana.. ajibu wale maadui zake 11 ambao alisema angepata urasi wangehama nchi waliishia wapi? kawaweka akiba? kama mnampenda membe basi mteueni yeye awe rasi wa kundi lenu .. jiiteni hata BM family halafu rais wenu awe benard membe.

Hii ya kwako ni kali maana angegombeaje ubunge hajui kuongea, foreign minister for 8 years hajui kuongea, counsilor ubalozini Canada for more than 8 years hajui kuongea. Hata kama hatumpendi kuna issues zinakua exagerated.