Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
Wakati ukifika watajitokeza wengine, ndipo tutawachuja na kukutajia. Nchi ingekuwa organized tungeshakuwa na sifa na vigezo rasmi vya mgombea urais. Lakini kwa sasa wanaotajwa ni miongoni mwa waliokataa Katiba ya Warioba, wote hawafai.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Watafutwe mimi sina jina au majina.si mpiga debe wa mtu yeyote.ila siwezi acha nchi yangu iwe nchi ya kihuni.sina ninayempigia debe.

Kama hawa kina Makamba unasema hawana akili za kutuongoza unamaanisha ni nani wenye akili ya kutuongoza?
 
Kila mwananchi ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya uongozi nchini maadam ametimiza vigezo.
 
Watafutwe mimi sina jina au majina.si mpiga debe wa mtu yeyote.ila siwezi acha nchi yangu iwe nchi ya kihuni.sina ninayempigia debe.
Nchi ya kihuni ya kusadikika maana kama mtu ameaminiwa kua waziri kwa zaidi ya miaka nane atakuaje muhuni?
 
Membe nimewahi kumwona akifanya mkutano na watanzania waliopo nje,hata kuongea hajui,sijui alikuwaje waziri wa mambo ya nje
 
Itakuwa pumzi imekata ,wanataka kufanya sub forward yetu haifungi
 
Tulikosea kwa marais wote waliopita toka Mwinyi mpaka Kikwete...….Magufuli ndiye rais pekee anayefaa hapa Tanzania.
 
sema wewe.. mimi nawaambia membe hata akili ya kuongea tu kawaida hana. jamaa hayupo vizuri kichwani. ni watu aina ile ile sema tu mfumo uliwapendelea.

Membe nimewahi kumwona akifanya mkutano na watanzania waliopo nje,hata kuongea hajui,sijui alikuwaje waziri wa mambo ya nje
 
kama hicho ni kigezo mtu ambaye amekuwa waziri zaidi ya miaka 10 na sasa rais mtasemaje hafai?

Nchi ya kihuni ya kusadikika maana kama mtu ameaminiwa kua waziri kwa zaidi ya miaka nane atakuaje muhuni?
 
ni kweli na ndomaa mnachagua hata watu wa hovyo hovyo kama akina membe. ni haki yenu pia. kila mtu ana haki lakini si kila mtu anastahili.kama mnampenda sana membe mfanyeni awe rais wa familia yenu.

Kila mwananchi ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya uongozi nchini maadam ametimiza vigezo.
 
Membe ,January hawafai kuwa marais nchi hii ni Mara 100 ,Magufuli kuliko Membe , Watanzania wengi hawajielewi ila ipo siku wataelewa

Membe hafai , atauza nchi na mtauzwa wananchi
 
hawa wapuuzi wamepewa vijicent kidogo wamebadilisha uelekeo. yaani kabisa mtu na akili zake timamu anasema rais wa nchi hii awe membe? awe makamba? kama ni hivi sasa ntaanza kumuunga mkono magufuli agombeee tena na tena na tena mpaka hao wengine washindwe kabisa hata kufikiria kuwa marais. badala ya wao kutafuta mtu wa maana wanaenda mtafuta membe na makamba?
Membe ,January hawafai kuwa marais nchi hii ni Mara 100 ,Magufuli kuliko Membe , Watanzania wengi hawajielewi ila ipo siku wataelewa

Membe hafai , atauza nchi na mtauzwa wananchi
 
kama hicho ni kigezo mtu ambaye amekuwa waziri zaidi ya miaka 10 na sasa rais mtasemaje hafai?
Mie sijasema rais hafai, ninachokikataa ni kudhani wengine hawafai kua ma rais, nchi hii ina watu over 50m we cant say that out of them non can be a president except one person. And you can’t say others do not have brain to rule
 
Kwahiyo unataka kutuambia nini? Mbona nyuzi yako imekaa kinaa sana
 
Mbona umeishia kusema tulikosea kwa Kikwete, ulitakiwa kusema na kwa Magufuli pia tulikosea, woga wa watu kama wewe ndio umetufikisha hapa mnaogopa kusema ukweli kuwa huyu wa sasa ni afadhali ya Kikwete.
Aluvyosema ni kama vile anamaanisha tulikosea kwa JK na sasa ......... Maana kama this time around hatukukosea ina maana tumerekebisha makosa ya nyuma. Sasa tatizo lake ni nini!!?

Hao akina Bashite, Polepole na the like ajue kuwa ndiyo wanaojipanga 2025 na ndiyo watakaokuwa strong ndani ya chama kuliko hao akina Makamba. Kwa ujumla watia nia wa 2015 taratibu wanaenguliwa na kifo chao kisiasa ni 2020 ...... Press conference ya Msiba inaonyesha mwelekeo!!
 
Membe nimewahi kumwona akifanya mkutano na watanzania waliopo nje,hata kuongea hajui,sijui alikuwaje waziri wa mambo ya nje
Hii ya kwako ni kali maana angegombeaje ubunge hajui kuongea, foreign minister for 8 years hajui kuongea, counsilor ubalozini Canada for more than 8 years hajui kuongea. Hata kama hatumpendi kuna issues zinakua exagerated.
 
Back
Top Bottom