Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
Huo wakati mgumu ni upi?
 
Kiukweli MEMBE VS MAGUFULI... MAGUFULI kaachwa mbali sana kwa uweledi na hata Hekima...
 
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.

Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.

Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.

Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.

Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?

Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.

Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?

Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.

Ndugu yangu, nimepitia thread yako nashindwa kukuelewa kuwa wewe ni mwanasiasa ama ni msomi ....nilichogundua ni kwamba huelewi unachotaka kukisema ila una nia thabiti ya kumshambulia Member Kamilius Bernard.

Suala la uongozi wa nchi si suala la kujipangia ni suala la kimkakati na kwenye nchi zote ambapo mkakati huo haupo lazima haya madudu ya kila mmoja kuona ana uwezo wa kuwa rais yatokeee.In 2015 that was an alarm, watangaza nia 38 (if in not mistane) kutoka chama tawala ilikuwa inatosha kabisa kukionyesha chama chetu kuwa tunakosea mahali.

Katibu mkuu wa chama chetu ni msomi wa masuala ya siasa ila sijamwona wala sijamsikia akiongelea suala la succession plan ndani ya chama haipo na ndo mana kila mtu anajiona anafaa. Chama kingekuwa kina vigezo vyake, nchi ina vigezo vyake ujinga juu tusingeuona. Suala hii linatakiwa licut across all senior post in the goverment.

Hili ninalolisema lipo kwenye nchi zote za kikomunist .china tuna top five Veto. Cube tuna vetting secretariet, nk.

Hivyo tusipojipanga ipo siku hata wewe utavutiwa kwenda ikulu
 
Mi nilivyomwelewa,anataka strict assessment ifanyike kumpata Raisi wa Tanzania,ikiwezekana hata uchunguzi wa kiafya,kiakili,michango yake kwenye jamii,lisiwe suala la pesa au influence ya kikundi Fulani cha watu,mim
Nna mfano mmoja kuna kijiji nilikulia walikuwa na utaratibu wa kujitolea kufanya kazi za maendeo mfano kila mwaka walikuwa wanalima barabara zingine zilikuwa zina urafu Hadi wa kilometer zaidi ya Mia,sasa hapo ndio kiongozi alikuwa anachunguzwa pia,kama una Tabia ya kujitolea kufanya kazi za maendeleo,unaishi vipi na watu hapo kijijini,unawasheshim vipi watu wa rika tofauti,Hali uongozi utapata tena sio kwa wewe kijipigia chapuo Bali utaambiwa kijana tunataka tukupe madaraka
Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
 
Kugombea urais ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania. Ingawaje wakinamama bado hatujaaminiwa. Na kule kaskazini mliweka red ink.
 
Ni bora Magufuli X 100 but si membe. Mimi ntakuwa wa kwanza kumpigia kampeni Magufuli kumpinga membe. Hii nchi itauzwa.membe hana akili hata kidogo za kuongoza nchi. Na hekima hana. Mla na mtoa rushwa.

Kiukweli MEMBE VS MAGUFULI... MAGUFULI kaachwa mbali sana kwa uweledi na hata Hekima...
 
Nakubali ni haki lakini haimaanishi na sisi ni wapuuzi kumpa kila mtu haki hiyo. Hata watu wa hovyo hovyo.

Kugombea urais ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania. Ingawaje wakinamama bado hatujaaminiwa. Na kule kaskazini mliweka red ink.
 
Mi nilivyomwelewa,anataka strict assessment ifanyike kumpata Raisi wa Tanzania,ikiwezekana hata uchunguzi wa kiafya,kiakili,michango yake kwenye jamii,lisiwe suala la pesa au influence ya kikundi Fulani cha watu,mim
Nna mfano mmoja kuna kijiji nilikulia walikuwa na utaratibu wa kujitolea kufanya kazi za maendeo mfano kila mwaka walikuwa wanalima barabara zingine zilikuwa zina urafu Hadi wa kilometer zaidi ya Mia,sasa hapo ndio kiongozi alikuwa anachunguzwa pia,kama una Tabia ya kujitolea kufanya kazi za maendeleo,unaishi vipi na watu hapo kijijini,unawasheshim vipi watu wa rika tofauti,Hali uongozi utapata tena sio kwa wewe kijipigia chapuo Bali utaambiwa kijana tunataka tukupe madaraka
Nimekuelewa lakini sasa nyakati zimebadilika sana, hatuna tena vikao vya wazee chini ya mwembe, sasa hivi kuna tabaka jipya la wanasiasa wanaitwa "Wajasiriamali wa siasa"; wapo kwa maslahi ya kipato, mbinu kubwa ni kutengeneza makundi ya kimaslahi kwa mbinu zozote, sio tena swala la una uwezo gani bali upo kundi gani na utayari wako wa kulinda maslahi mapana ya kundi husika.
Sera za huyu ni mwenzetu zimekuwepo tangu enzi za Mwalimu, na sasa ni hovyo zaidi kwa sababu ya mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii pana, watawala na vyama vya siasa na hata vikundi vya madhehebu mbalimbali. Mungu atusaidie
 
Kama JF Ingekuwa na watu 100 waelewa kama wewe ingesababisha maendeleo makubwa sana katika nchi hii. Ingekuwa shule tosha kabisa.

Mi nilivyomwelewa,anataka strict assessment ifanyike kumpata Raisi wa Tanzania,ikiwezekana hata uchunguzi wa kiafya,kiakili,michango yake kwenye jamii,lisiwe suala la pesa au influence ya kikundi Fulani cha watu,mim
Nna mfano mmoja kuna kijiji nilikulia walikuwa na utaratibu wa kujitolea kufanya kazi za maendeo mfano kila mwaka walikuwa wanalima barabara zingine zilikuwa zina urafu Hadi wa kilometer zaidi ya Mia,sasa hapo ndio kiongozi alikuwa anachunguzwa pia,kama una Tabia ya kujitolea kufanya kazi za maendeleo,unaishi vipi na watu hapo kijijini,unawasheshim vipi watu wa rika tofauti,Hali uongozi utapata tena sio kwa wewe kijipigia chapuo Bali utaambiwa kijana tunataka tukupe madaraka
 
[QUOTE=".

Tulikosea kwa kikwete.[/QUOTE]
Mbona humtaji huyu mwingine? au hadi awamu yake iishe?
 
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.

Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.

Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.

Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.

Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?

Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.

Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?

Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
Inaitwa kutema cheche...
 
Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
Jiwe kabebwa na nani?
 
Ndio hiki kitu jamaa hakitaki Gudume,hakuna vikao vya chini ya mwembe Sawa lakini kiongozi Bora Sisi wananchi tunamjua kama kweli chaguzi zetu ziko fair sanduku la kura linatosha kumpata kiongozi Bora maana wananchi wanamjua
Nimekuelewa lakini sasa nyakati zimebadilika sana, hatuna tena vikao vya wazee chini ya mwembe, sasa hivi kuna tabaka jipya la wanasiasa wanaitwa "Wajasiriamali wa siasa"; wapo kwa maslahi ya kipato, mbinu kubwa ni kutengeneza makundi ya kimaslahi kwa mbinu zozote, sio tena swala la una uwezo gani bali upo kundi gani na utayari wako wa kulinda maslahi mapana ya kundi husika.
Sera za huyu ni mwenzetu zimekuwepo tangu enzi za Mwalimu, na sasa ni hovyo zaidi kwa sababu ya mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii pana, watawala na vyama vya siasa na hata vikundi vya madhehebu mbalimbali. Mungu atusaidie
 
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.

Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.

Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.

Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.

Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?

Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.

Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?

Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
Thread yako ina kila aina ya ukweli na busara. Asante sana. Eti Membe awe rais? Makamba awe rais? Watanzania tuache huu utani!
 
But membe hapana. Na haitatokea.bora Magufuli but si membe.na ikitokea mimi ntahama nchi siwezi ongozwa na membe nami ntakuwa mpuuzi sana

Hata Magufuli kuna wakiompinga na sasa ni rais.
 
But membe hapana. Na haitatokea.bora Magufuli but si membe.na ikitokea mimi ntahama nchi siwezi ongozwa na membe nami ntakuwa mpuuzi sana
Ukirudi tutakupokea mabegi . Jiwe pia alibeep tu. ‘
 
Tulikotoka ni balaa inawezekana mlikuwa bado wachanga sasa mifumo ipo katika muelekeo mzuri hachaguliwi mtu kwa mashinikizo ya watu binafsi vinginevyo Mh.Lowasa leo angekuwa Ccm na ndiye angekuwa mwenyekiti nk.
 
Back
Top Bottom