Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

Hii Dharau na Matusi kwa Watanzania mpaka lini? Tukatae kuwa sasa Inatosha

Unajua magufuli kafaidika kwa vita ya membe na lowassa nami niliona ni bora magufuli kuliko membe.membe is the disaster... Acheni kabisa.hii inch ingekongoroka hasa na ni mtu wa visasi sana. Na alishasema siku akiwa Rais ana watu wake ambao wangemwelewa vizur yeye ni nani.hata busara hana...ni mtu wa hovyo hovyo.huyu ambaye alitamba kipindi kile kuwa nchi ya libya haiwez kupinduliwa na land cruiser mkonga akimtetea ghadaf na baada ya mapinduzi akaungana na waliopindua...ni mtu hopeless kabisa.

Ukirudi tutakupokea mabegi . Jiwe pia alibeep tu. ‘
 
Lowassa alikataliwa na kikwete kutokana na ugomvi wao.hakukuwa na lingine.ni woga wa kikwete.

Tulikotoka ni balaa inawezekana mlikuwa bado wachanga sasa mifumo ipo katika muelekeo mzuri hachaguliwi mtu kwa mashinikizo ya watu binafsi vinginevyo Mh.Lowasa leo angekuwa Ccm na ndiye angekuwa mwenyekiti nk.
 
Unajua magufuli kafaidika kwa vita ya membe na lowassa nami niliona ni bora magufuli kuliko membe.membe is the disaster... Acheni kabisa.hii inch ingekongoroka hasa na ni mtu wa visasi sana. Na alishasema siku akiwa Rais ana watu wake ambao wangemwelewa vizur yeye ni nani.hata busara hana...ni mtu wa hovyo hovyo.huyu ambaye alitamba kipindi kile kuwa nchi ya libya haiwez kupinduliwa na land cruiser mkonga akimtetea ghadaf na baada ya mapinduzi akaungana na waliopindua...ni mtu hopeless kabisa.
Acha watanzania waamue usiwaamulie.
 
Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
Mkuu MTK, tatizo letu ni kuwa hatuna "Non partisan system or institutions". Wakati wa chaguzi au teuzi taasisi hizi zingeweza kusaidia upatikanaji wa "the best and clean candidates" kwenye kila nafasi na hivyo kuondokana na kuwa na watu kwenye nafasi hizo za uongozi wasiokuwa na sifa!
Kinachotokea kwetu hapa ni kuwa "system" inabadilika kila baada ya uchaguzi au uteuzi kiasi cha kwamba ule weledi wao pia umekuwa ni mhanga wa uchaguzi na teuzi hizi. Katika mazingira haya tusitegemee kupata "unbiased vetting" ya watumishi wa umma kwenye ngazi mbali mbali! Tatizo linarekebishika kwa kuibadili katiba ili kuzifanya taasisi hizi ziwajibike kwa Bunge badala ya kuwa chini ya Mamlaka za Uteuzi. Ni mawazo yangu tu.
 
Demokrasia imeua hayo mnayosema ndio maana leo Trump ni Rais, sababu alichaguliwa kwa kura
 
But membe hapana. Na haitatokea.bora Magufuli but si membe.na ikitokea mimi ntahama nchi siwezi ongozwa na membe nami ntakuwa mpuuzi sana
Brother GuDume hebu tunaomba maelezo detailed kuhusu membe na January humu we dare to talk freely so ili mjadala uwe mzuri hebu tujikite katika kuwachambua watu hao badala tu ya kusema hawafai
 
Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na maadili......@ Ni akina nani hao waliopimwa kwa umakini wakaonekana kuwa na akili na maadili? Na wametufanyia nini au ni manufaa gani tuwaenzi kwayo?
 
Huna akil ww,,jf hawa watu mwenye mawazo finyu watoeni kwenye jf
Acha matusi weka hoja yako na uitetee, usimlazimishe kukipenda ukipendacho kwani yeye pia anazo sababu zake.
Fikiria. Kila mtu anazo sababu zake sasa mila mmoja aanze kumtukana mwenzake hii JF ya GT si litakuwa Jukwaa la Vichaa!
 
Si humu jamvini mnatusema Watanzania hatuna akili? Sasa povu la nini? Wacha waso na akili waropoke mkuu. Kaa chonjo!!
 
Ni bora Magufuli X 100 but si membe. Mimi ntakuwa wa kwanza kumpigia kampeni Magufuli kumpinga membe. Hii nchi itauzwa.membe hana akili hata kidogo za kuongoza nchi. Na hekima hana. Mla na mtoa rushwa.
...hata mimi sina imani kabisa na Membe na January
 
Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
Dah....wanaoona nchi inapitia wakati mgumu..ni wale wezi...wapigaji...wavivu wanaopenda vitu vya bure...wazembe...na Wala rushwa.....na ndiyo hasa waliotuharibia nchi yetu....
Yaani Kama ningekuwa Mshana Jr ningewabadilisha wote kuku wakaishia juu ya chips....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda unasahau mimi ni mtanzania so nipo huru kutoa maoni yangu.na nimeamua.kuwa membe na makamba hawatakuja kuwa marais wa nchi hii. Na wewe amua unachotaka.

Acha watanzania waamue usiwaamulie.
 
kuna vijitu vijingavijinga vinataka kutuaminisha wao ndio vichwa wanaoweza kutuletea marais, ndio hao wanaoshinda mtandaoni wakituletea majina ya makamba, membe na wengineo ambao wamechukua vijisenti kwao.Vijitu hivi vinaweza kufanywa chochote ili mradi vimepewa pesa na ndio huwa wa kwanza pale mtu wao akichaguliwa na kutenda sivyo vinaanza kupiga kelele kama wana mahaba na hao watu kwanini wasiolewe nao kwani Urais ni taasisi kubwa ambayo inakosa heshima sababu ya watu kama hao
 
Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
Mkuu ukiwaangalia wanao mwita Lisu public enemy hawana sababu za msingi zaidi ya chuki.
 
Mkuu kila uchao unafungua nyuzi za kumsifia magufuli... kwa taarifa yako MAGUFULI HATUMTAKI HATA KIDOGO..
 
Back
Top Bottom