Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Nikiaangalia wasaidizi wa Rais Magufuli,hasa mawaziri,ukimtoa Majaliwa, kwa sasa sioni wa kuvaa viatu vyake.wengi bado wanajifaragua tu na kutaka kutuaminissha wako makini ,lengo lao ni kuogopa kutenguliwa,dhamira zao hazijawa tayari kulitumikia taifa kwa dhati,wengi wao waoga .
Nakuomba umuandae jasiri mithiri yako ,kijana Makonda ambae ulimpa u RC tu matunda yalionekana dhahiri.

Nchi hii bila ubabe na huruma kidogo haiendi ,nionanvyo Makonda anaweza tembea na mdundo wako
 
Serikali ijayo haimhitaji tena rais wa aina kama ya magufuli,wenyewe wachaguzi wanafahamu jambo hili vizuri zaidi na hata magufuli anafahamu hili vizuri...
 
hili ni la kweli kabisa Makonda ana uthubutu. Japo bado hatujamjua zaidi kiundani.
Ila Majaliwa ni mia mia na Hussein Mwinyi.
Hao wengine ni waoga, sidhani kama wataweza kutumbua mijipu kwa ujasiri.

Ila ngoja tusubiri sisi tunachotaka ni mtu jasiri kama Magufuli, Mzalendo kama Magufuli ambae hatayaogopa Mabeberu.
 
Ajabu ya kwamba kuna mmoja ulimtabiria atakuwa rais katika hao hapo ajabu .daaah
Its true, na utabiri wenyewe ni huu

Nakuomba kausome tena uzi huo huku umetuliza akili, ili upate uwezo wa kusoma in between the lines, ni uwezo wa kusoma kitu kilichoandikwa na kujua mwandishi alidhamiria kusema nini au kufikisha ujumbe gani. Hata Kristu Yesu kuna vitu alivizungumza ni parables ili only wenye uwezo wa uelewa wa kiwango hicho, ndio waelewe, wengine wasio na kiwango hicho, wataishia kubaki chaka!.

Kufuatia wengi wetu hatuna uwezo to read in between, nitaanza kidogo kufungua the old parables.

P
 
Ok we shall see !!!!!

Lets see what the future holds

Kusema mtu hawezi soma between lines haina maana ulichoandika ndio kinachopaswa kiwe hivyo.

All in all .

Tuone itakuwaje

Tutarudi hapa

Tuombe uzima tu
 
Kiroho!! Magufuli alikufa kitambo km miaka Saba iliyo pita hivi!! Lile lilikuwa Msukule tu! linawaongoza Watanzania, lkn hakuna aliye ona haya isipokuwa Nabii mmoja tu!! si mnaona mtu gani Mayai!! wewe huchoki kila kitu umo! tuuu! utaweza??.

Mungu mwenyewe na ubabe wake wote!! mwenye Dunia hii na vyote vilivyomo!! aliwashindwa kuwa control wana wa Israel, pamoja na favour zooote zile alizo wapatia jangwani, na ikiwa km bado vile aka mtoa Mwanae wa pekee!!! lkn bado watu hawaelewa!!

Magu yule mpendelea Chato, Muua watu hovyo tena maksudi, aliiga kina Idd amini yeye ni nani wamuelewe kirahisi hivo?? alisahau neno hili ''Ukiishi kwa Upanga........''Majibu mnayo! akasahau hata kutubu! kuonekana kwake kanisani ilikuwa ni kumdhihaki Mungu.

tuyaache hayo mwenda zake hana kitu leo ....Mungu wana israel kwa hasira akaona awapoteze humu humu Duniani,na akarudi zake hukooo Mbinguni kula Bata na Malaika zake amekaa huko kimya yapata miaka 2000 sasa!!

hakuna anae jua siku ya kurudi kwake ila bado mda kidogo tu!! tarehe kamili hakuna anae jua, mlivo makisirisha yule Bwana! na asikudanganye mtu mbinguni kutamu Bwana weee!! ukienda mtu km wewe mla vihepe!! hautarudi omba sana ukaonje japo kidogo tu maisha ya kule.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pascal ni vyema na ni muda muafaka kuweka wazi hizo parables, by the way ishu ishapita(expire)
Ni utaratibu wa kawqida ku reveal siri na mafumbo mbalimbal ktk jamii kwa manufaa ya wengi, hasa unapokuta mda wa siri zake umekwisha pita na hazina madhara tena

Hata hvyo ni wakat sasa kuanza tena kutupa makala ndefumdefu za kiutabiri wa mwelekeo wa awamu hii kama vile ulivyofanya kipnd kile cha mwendazake jins ulivyokuwa unazimwqga hapa
 
Hapa Paskali "amepuyanga"?

Sioni kinachoweza kufanya Bashite kuwa Rais come 2025. Hata kupata Ubunge tu, itambidi afanye kazi kubwa.

Anyway, labda miujiza inaweza kutokea!
 
Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.

Uongo uongo tu
 
Nyamitako hafai kabisaaaaa
 
Narudia tena UPUUZI MTUPU! Acha kimbelembele chako cha kujikomba komba huyu anatufaa na yule hatufai TULIZANA. Wewe siyo Mwenyezi Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…