Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Ndio maana hakuna anayekuchukulia serious una mambo ya kitoto thinking yako ipo biased sana sababu huna misimamo. Unazeeka sasa jitafakari brother.
 
Hivi
Hivi bado unayo haya mawazo yako finyu?
 
Tangu ufikirie kwamba bashite anafaa kuwa Rais ajaye baada ya magufuri nilijua haupo sawa kichwani
Mkuu othuman dan fodio, baadhi ya mabandiko yangu, ni mabandiko mahsus kwa watu mahsus na yana ujumbe mahsus kwa hao walengwa tuu, kwa lengo la kufikisha ujumbe huko kunako, hivyo kuyasoma kichwa kichwa, utaishia kuingia chaka!. Hebu soma huku umetulia, soma mstari kwa mstari, nimekufupishia, usipoelewa nilikuwa namaanisha nini, then bandiko langu kama hili
Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli mtu kama wewe ndio utatoka kapa kabisa!, empty with nothing !.
P
 
Hv mkuu ukipitia hz makala zako unazionaje..
 
Yani serious bashite awe raise.. pasco dharau zidi yeti watanzania
 
Sababu ni hii

Pia niliuzungumzia huo uthubutu,

Can you connect the dots?.
P
Nimeconnect dots ila nashangaa mtu makin kama ww kusapot watu wanaojichukulia maamuzi vichwan mwao et ndio waongoze nchi ya zaid ya watu mil.60; huku ukiwaita ni wenye uthubutu..?? kweli tunafika pahal kwamba kichwa cha mtu mmoja (yena asiye na rational thinking) kituamulie tunalalaje na tunaamkaje (au aamue ishi au usiishi) na nyie kina paschal mnaona ni sawa hvyo..??
Hapa ulikosea sana kusapot mfumo wa uimla badala ya mfumo wa sheria tulizokubaliana..
NAKUBALI KUWA KUNA SHDA KUBWA SANA YA NAMNA TUNAVYOJIONGOZA KWA KUTUMIA SHERIA TULIYOJIWEKEA, ILA isifike pahala kwamba kwasabb tumeshndwa kuwajibishana kwa sheria basi TUAMUE KUMFANYA MTU MMOJA NDIE AWE SHERIA YETU et kisa tu ana uthubutu...hii sio sawa its a Big Blanda
 
Tutabirie 2050 ndugu mwandishi mtabiri
 
Ila Pascal Mayalla na wewe unaandikaga mawazo yako sa zingine ukiyarudia kuyasoma unajidharau mwenyewe si ndiyo?
Mkuu Sweet16, mimi humu jf, naandikia watu wa makundi 3, simple mind, ordinary mind, na great mind, sasa inapotokea bandiko ni la great mind, huku wewe ni mwenzangu na mimi, utaishia tuu kuingia chaka.

Hayo mabandiko ambayo unadhani nikiyarudia, najidharau, mfano bandiko hili, kama unaamini unachoamini, endelea kuamini unachoamini, ila kwa wale ma GT, wenye uwezo to read in between the lines, wanajua nazungumzia nini na haya niliyo yazungumza humu, baadhi yametokea!.
P
 
hivi nikikufananisha na kenge nitakuwa nakosea?
 
Basi, haina maana kuleta mabandiko yasiyoeleweka kwa wengi. Lengo lako ni nini sasa. Ujumbe wako unaposhindwa kueleweka kwa wengi maana yake ni kushindwa kwa mwandishi kufikisha ujumbe. Naona unajisifia hilo, sio sifa hata kidogo.
Ziko poa kabisa. kunielewa baadhi ya mabandiko yangu, inakubidi uwe na kiwango fulani cha uelewa na uwezo wa to read in between the lines .
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…