Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Basi, haina maana kuleta mabandiko yasiyoeleweka kwa wengi. Lengo lako ni nini sasa. Ujumbe wako unaposhindwa kueleweka kwa wengi maana yake ni kushindwa kwa mwandishi kufikisha ujumbe. Naona unajisifia hilo, sio sifa hata kidogo.
Mkuu malantu, kiukweli sio najisifia najijua kabisa kuwa nafanya kazi nzuri na matokeo nayaona.

Ninachofanya ndio haswa the effective way of using social media, technology imeleta madhara ya kuacha kuandika barua na kutuma kwa Posta, sasa unatuma tuu email.

Matumizi mazuri ya social media sio tuu ni kwaajili ya mass communications, hata inter personal na intra personal, hivyo baadhi ya mabandiko yangu ni directional na targeted kwa mlengwa au walengwa, kama wewe sio mlengwa, then halikuhusu!.

Mfano ikitokea nakufahamu wewe Mkuu malantu, ni mheshimiwa, na una mke na watoto wakubwa tuu lakini una tabia chafu ya kutafuna vifaranga, au unakula kuku na mayai yake na wote wawili huwapeleka gest hiyo hiyo moja ya Kupumzika lodge for short time.

Siwezi kukukabili na kukueleza face to face, tutagombana, siwezi mueleza mkeo tabia zako chafu, ila baada ya kujua wewe ni msomaji mzuri wa jf, nitakuanzishia thread directed to you, heading itakuwa
"Mhe, Acha Tabia Chafu ya Kutafuna Vifaranga, Kula Kuku na Mayai Yake, Husababisha laana!".

Kisha humo nitatoa detail za mtaa unakoishi na lini uliingia Kupumzika Lodge kujilia kuku, na lini uliingia kutafuna kifaranga.

Bandiko hilo ni wewe pekee tuu ndio utaelewa na amini usiamini, kamwe hutakaa ukanyage tena Kupumzika Lodge, hivyo nakuwa nimekusaidia kubadilika.

Mabandiko yangu kibao humu ambayo ni uni directional targeted kwa mtu mmoja mmoja yamesaidia sana kuwabadilisha viongozi wetu na mimi huwa nanote positive changes.

Kwenye bandiko hili, nimemzungumzia issues nyingi tuu ikiwemo "uthubutu unreasonably", "udikiteta", "Kujikomba komba ", inferiority complex" dogo alichange for the better.
na kuna kitu nilikisema kumhusisha Mungu, na kikatokea kweli!.
P
 
Makonda mwendo ameshaumaliza, ni kuomba tu mama asimamishe vyombo vya dola vimsamehe, otherwise zile hips zinakwenda kuchezewa na manyapara ni swala la muda tu.
 
Ongeza na Humphrey polepole.
 
Mlitaka Tanzania iwe ya wasukuma,

Sasa mtulie,baada ya Samia 2040, ni zamu ya January Makamba au Nape
 
Enzi za kusifu na kuabudu![emoji3][emoji2][emoji2]
Kipindi cha marehemu kilituwezesha kuwatambua wazi watu wanafiki, ambao wapo tayari kunena lolote ili tu kuona kama watapewa nafasi za kutunza matumbo yao.

Mayala ili apate faraja ya moyo, aikabidhi familia yake kwa Makonda ili angalao ndoto yake itimie kwa kiwango fulani kuwa Makonda aliwahi kuwa Rais (wa familia yake).
 
Makonda huyu huyu aliyekuwa anatembea na kina kisanduku wa police au. Alikuwa mwoga analindwa mpaka akienda samakisamaki chooni.
 
Nchi hii ina wapumbavu wa viwango vya juu sana
 
Baada ya kuona watu wamekutambua ulivyo mjinga.umemua kujificha kwenye kichaka cha kwamba umeandika kwa kutufumbia sio. Haya bwana njaa a.k.a mayala kwa kisukuma.
Mwamba kanasa kwenye mkuundu wa ndovu chini akanyagi maini ayagusi
 
Japo jf was meant to be a home to Great Minds, as days go by, ma GT wa ukweli wa Jeiefu, wanazidi kupungua huku average people wakiongezeka kwa wingi na miongoni mwao, vilaza ni wengi na sasa ndio wanatamalaki zaidi humu jeiefu, hivvo mtu ukipandisha bandiko kama hili linalohitaji uwezo wa to read in between the lines wengi wanatoka kapa na wengine kuishia chaka, hivyo nikipata muda nitakuwa naendesha darasa la to read in between the lines, hivyo kuwaa transform from hawa average jf members from ordinary into great mind.
Hapo nimetoa somo la kufuata katiba sheria, taratibu na kanuni.
Hapo kuna kitu nilimtaja Mungu na kweli Mungu akatenda.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Hapa nimezungumzia Tanzania kunyooka
Kujikomba komba kulipungua
karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa).
Hii pia ilipungua
Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Hili alishindwa
Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda,
Kuna kitu nilikisema hapo...
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.

Paskali.
Natumaini nimeeleweka.
P
 
Hivi na sabaya nae ni msukuma?
Soma historia ya Hitlar alitumia kabila gani kuangamiza mayuda. Someni jamani..!
Magufuli alifanya kama Hitlar alichukia sana watu wa kaskazini na waliopona ni wale tu waliopiga magoti na kumramba makalio. Magufuli aliamisha wanyama ili mbuga ikawe Chato kwa chuki tu.
Magufuli sio mtu na ni zaidi ya Shetani
 
Tumekuelewa lakini haya ndio mambo yamekunyima tunzo ya heshima hapa JF na badala yake ametunukiwa Mzee Mohammed Said.

Ulistahili tunzo kwa mchango wako wa muda mrefu hapa JF lakini kosa la kupanda treni ya wasukuma ndio iliondoa sehemu ya credibility yako na kupuuzwa, jiulize hivi ni kwa nini Mzee Mwanakijiji naye haeshimiki tena? Hata tuzo za JF wala hajafikiriwa?

Wewe na Mzee Mwanakujiji mjiangalie mliojikwaa, jirekebisheni tusonge mbele, na hapa sina maana kuunga mkono upinzani hapana bali kumpendekeza Msukuma baada ya msukuma halafu wote makatili, ilikuwa ni zaidi ya ukabila na kujipendekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…