Baada ya Magufuli kupita Kigoma, Zitto afanya kazi ya safisha safisha!

Baada ya Magufuli kupita Kigoma, Zitto afanya kazi ya safisha safisha!

Nashauri Zitto apite kwenye mapito yote aliyopita Magufuli kwenye kampeni hii na kusaidia kung'oa magugu
 
Safi sana. Magufuli kila anakopita ni aibu kubwa. Huko Kagera ni afadhali asingeenda. Ikamlazimu kumfukuza Mwenyekiti wake wa CCM Mkoa. Akakimbilia Kigoma. Baada ya kutamka uongo wake huko, Lissu na Zito wamepangua uongo kwa takwimu na uhalisia.

Magu kabaki kufanya fiesta ya wasanii wasio na maadili jukwaani. Kura Kagera na Kigoma zimeshamponyoka. Tusuburi aibu nyingine mikoa anayokwenda.
Mimi ningekuwa magufuli , ningekuwa nakunywa kahawa tu ikulu, kwa kaz aliyoifanya miaka mitano ya kuleta maendeleo kwa wanyonge kama Paul Makonda basi ushindi wake upo nje nje
 
Mpango Anafuata Yale Yale Ya Arcado Ntagazwa
Lekatutigite
Iviligwa Viliho
 
Combination ya Lissu, Zito na Maalim Seif ni "very devastating" kwa CCM. Ni dhahiri hawataacha kuiona kila aina ya rangi ktk kampeni za uchaguzi mwaka huu. Ni lazima wafufue mbio za mwenge kwa hati ya dharura ili kuweza kujinusuru.
 
Hivi huyu Zito lile picha lake la unafiki akishuka kwenye ndege za bombardier ya Magufuli aliliona?
Anasema aliziona,akasema hatakabla ya bombardier ndege zilikuwepo tena nauli bei nafuu,fastjet akafanyiwa figisufigisu akauwawa kibabe.mkaleta hizi zenu ambazo nauli ni ghali kweli.
 
Ndio maana kafika Tabora kapoa Kama maji ya mtungi , na ile hoja ya urundi alikuwa anafikiri watu hawajui Hana cheti cha kuzaliwa .
 
Ukishaanza kutembea unasahau kuwa ulianza na kutambaa, aliyekushuhudia pindi unatambaa anapigwa na butwaa namna unavyojitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom