Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu tuna kazi naye, tuna jambo letuSubiri tarehe 28 oktoba
Mimi ningekuwa magufuli , ningekuwa nakunywa kahawa tu ikulu, kwa kaz aliyoifanya miaka mitano ya kuleta maendeleo kwa wanyonge kama Paul Makonda basi ushindi wake upo nje njeSafi sana. Magufuli kila anakopita ni aibu kubwa. Huko Kagera ni afadhali asingeenda. Ikamlazimu kumfukuza Mwenyekiti wake wa CCM Mkoa. Akakimbilia Kigoma. Baada ya kutamka uongo wake huko, Lissu na Zito wamepangua uongo kwa takwimu na uhalisia.
Magu kabaki kufanya fiesta ya wasanii wasio na maadili jukwaani. Kura Kagera na Kigoma zimeshamponyoka. Tusuburi aibu nyingine mikoa anayokwenda.
Anasema aliziona,akasema hatakabla ya bombardier ndege zilikuwepo tena nauli bei nafuu,fastjet akafanyiwa figisufigisu akauwawa kibabe.mkaleta hizi zenu ambazo nauli ni ghali kweli.Hivi huyu Zito lile picha lake la unafiki akishuka kwenye ndege za bombardier ya Magufuli aliliona?
hivi kwa akili zako timamu umeshindwa kutofautisha kati ya barabarani na uwanjani?The same Location nani kafagia hapo mkuu hahahahahahaa
View attachment 1576363
Sema kwa ccm sasa ni ngumu kujua wangapi wamekuja kwa ajili ya Mgombea na wangapi wamekuja kwa ajili ya Diamond.The same Location nani kafagia hapo mkuu hahahahahahaa
View attachment 1576363
ndio linamtisha sana jiwe hili kwa sera