Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Soma vizuri wamesimamisha vifurushi vya kupiga simu tu, vya internet wembe ni ule-ule.
Wewe ndo unayepaswa kusoma vizuri uelewe,sio unakuwa na pupa.

Vifurushi vya internet ndo vimesimamishwa ila vya kutuma ujumbe na kupiga simu vinaendelea kama kawaida.
 
Mtu asiyesomea mambo ya IT/ICT anawekwaje kuongoza wizara yenye mambo ya IT?!...,Ndugulile ni Hovyo kabisa kabisa....(eti 1MB ni Tsh 2-9) na amekomaa kabisa ...,hajui hata 1MB,1GB vina-relate namna gani...,...,bora hata WAJUMBE wa Kigamboni wangempitisha Koromije Boy
Ndugulile hovyo kabisa
 
Pumbafu sana sasa alichofanya waziri nini sasa?
 
Kwakweli isitishe tuu.. Hongera kwao kwa kusiliza Sauti za Wenye nchi.

Internet imekua ni miongoni mwa haki za kibinaadamu, kwahiyo upatikanaji wake uendane na hali za wananchi husika.

Watanzania bado ni Masikini hawajajiweza kiuchumi bado kumudu gharama kali za vifurushi vya mitandao
 
Makusanyo ni 2 trillion kwa mwezi ndio agizo la makamu wa raisi.
 
Kwa hiyo Makampuni ya simu yametoa bei mpya pasipo kuwatumia kwanza TCRA?
 
Back
Top Bottom