Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Kaka Paskali, naona umeshindwa kukaa kimya kama ulivyoahidi! Mungu akupe nguvu urejee tena!! Nime-miss Maswali fikirishi
 
Hakuna kitu.

CCM haitobomolewi na issue ndogo kama hii.

Yule Mzanzibar wa Njombe alijua alilokuwa akilifanya hahahaahahahah.
 
Kwanza nikiri kuwa nilikuwa nasubiri uzi wako kuhushu kauli ya mama, pili sahau kuhusu jamaa kujiuzuru labda wamtimue na tatu inawezekana jamaa yako aliongea vile kwakuwa kuna homa ya 2025 lakini sio lazima awe yeye labda ni mtu wa timu yake anautaka ambae ni dini ya mama.

NB: Ulitahadharisha kuhusu majina yasitajwe lakini wewe umetaja majina kibao, mara julius mara jahkaya nk
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima

Hizo pesa zinaenda Chadema kwenye saccos ya Mbowe…!!!
 
Hakuna kitu.

CCM haitobomolewa na issue ndogo kama hii.

Yule Mzanzibar wa Njombe alijua alilokuwa akilifanya hahahaahahahah.

Ngoja mikutano ya hadhara ya Siasa ianze ndio utanielewa. Leo kapotezea suala ka mfumuko wa bei pamoja na kwamba Mh Ummy alilihighlight kwenye vifaa vya ujenzi.
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Mama alishataadharishwa kuwa upinzani mkubwa ataupata toka wavaa mashati ya kijani na sasa anajionea
 
Tulia nampenda ila hawezi kuwa Spika
 
Hahaaaa!!!!!hakika ile nafasi ni tamu na maza kashanogewa
 
Naomba Mungu hiyo vita uko CCM iendelee iwe kubwa sana mpaka wafikie hatua ya kutoana uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…