Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Mkumbusheni afanye hesabu ndogo tu 2025-1992 =......
Hilo jibu la hapo hicho kizazi ambacho nyumba moja kuna shabiki wa yanga,lipuli,simba na dodoma mji tafsiri ya haraka ni kuwa "hakuna kuogopana"

Mkumbusheni pia tunaenda kipindi ambacho watu watamchagua mtu wao .....
 
Wakati Ndungay unawakanndya na kuwashambuliwa na kuwadhihaki wabunge wako kina Lema, Lissu na Mbowe ukijiona mtukufu Sana kisa unaalikwa Sana Ikulu, hukujua wakati hukuta.

Muosha naye huoshwa. Hapa duniani hatuna wakati udumuo. Tenda haki kwa wote maana hata wewe kesho yako huijui.
 
VP Mlengwa Mkuu Leo alipewa mualiko kwenye kikao kile akasusa au la?? Sikumuona au ni macho yangu??

Kuna Somo kubwa sana la kujifunza hasa Kwa wale waliopo Madarakani hivi sasa. Hakuna ajuae kesho yake.

Mimi ningemshauri aachie kile kijiti kwani hawa wa Upande wa pili wamejipamga vyakutosha. Mle mle mjengoni kuna wale kumi na kenda ndio kitakua kitanzi chake. Ameshaandaliwa mtu wakutoa hoja dhidi yao. Nafikiri mnanielewa.
Kesi inafunguliwa soon huko Arusha mkuu.
 
Mimi nawaza tu kale ka elfu 27 nilikolipa tangia october kwa ajiri ya kuletewa umeme kwa umbali unaohitaji nguzo tatu kama bado katafanya kazi ama laaa, nchi yetu ni kama vile inazunguka Roundabout , tunaenda na kurudi pale pale
 
Nadhani ni muda wa bunge kuisimamia serikali iondoke kwenye kuwa rubber stamp ya serikali. Nadhani tabia ya wabunge kutetea serikali bungeni imepelekea kujishushia heshima yake kiasi Cha speaker akitoa maoni yake anaonekana msaliti.

Bunge lisikubali serikali ikope mpaka imepata maelezo ya kutosheleza. Kama Bunge lingesimama kwenye nafasi yake huu mkanganyiko usingetokea. Bunge lihame kwenye mrengo wa kutetea serikali na ihamie kwenye mrengo wa kuisimamia serikali na ikibidi kuweka zuio la kukopa madeni mengi.
 
Spika wa bunge ana-haki na ni wajibu wake kikatiba kuihoji na kuisimamia serikali hiyo ndio Demokrasia, swala kwamba anataka urais ni swala binafsi ... alichokifanya ndivyo inavyotakiwa iwe, hatuwezi kua na serikali ambayo inajifanyia tu inachotaka bila ya watu ku-argue. Tatizo ni kwamba nyie CCM huo sio utamaduni wenu. Kosa alilofanya ni kurudi kuomba msamaha hapa amesababisha adharaulike na atukanwe , angeshikilia msimamo wake kwanza kwa muda fulani, angerudi kwa njia nyingine lakini sio hii ya NIMEKOSA MIMI, nimekosa sana.
Kama ni spika wa bunge nakubaliana nawe ila kama ni ndugai ntakupinga milele.

Hana legitimacy ya kuhoji hilo.
 
wa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!

Pascal acha unafiki wako, huyo unayesema mtu wenu amesingiziwa kipi ambacho hakusema kwenye ile clip? Ukisikiliza kwa makini bila ushabiki utasikia pale anapohitimisha na kusema TUONE hapo 2025 kama hao watu wa tozo watakubalika au la!!! Sasa huo sio usemi wa kuonesha stress za uchaguzi hapo ifikapo 2025?
 
Kwa akili yangu ndogo kabisa pengine kuliko akili zote sijashawisha hoja ya ndugai ilikua ni homa ya uchaguzi mkuu 2025, ile ilikua hoja ya kizalendo iliokua haijafungwa na chama au nafasi ya cheo.

Nani asiye jua kwa deni hili miaka 10 ijao litakuwa na uzito wa namna gani ikiwa bado nia ya kukopa bado ipo?

Hio miradi wanayokopea nani anayejua itaanza kutoa faida lini ili iweze kulipia deni la mkopo?

Huu mzigo wa hili deni litabebwa barabara na wananchi huku wao wakiwa hawapo madarakani na pengine duniani.

Itakuja kukumbukwa kauli ya ndugai wakati mwafaka,tuombe tu uzima.

Pamoja na mapungufu mengi mno ya ndugai lakini kwa statement hii kutoka kwa rais ni amekosewa heshima sana tena sana! Tumpe pole na kumpa moyo kwa kipindi hiki lakini ajifunze kuongea kwa staha na pia ikimpendeza awaachie nafasi yao na chama chao.
Mkuu kuna mambo kama wewe huyajui, au wengi wetu hatujui haimaanishi kwamba kila mtu hayajui.

Ndugai AMEKOSA SANA. ameomba radhi Watanzania wote ukiwemo wewe kwa kuwa anajua AMEKOSA SANA. Sasa nyinyi wengi wenu hamjui AMEKOSA nini lakini yeye anajua
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.

Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii

Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.

Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.

Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.

Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.

Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.

Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.

I migh end up being right again!

Paskali
Blai hatakiwi kuresign, anatakiwa kupambana, hii ni mihimili miwili tofauti, blai anatakiwa atafute uugwaji mkono ndani ya mjengo ili vita iwe kali zaidi
 
Nadhani ni muda wa bunge kuisimamia serikali iondoke kwenye kuwa rubber stamp ya serikali. Nadhani tabia ya wabunge kutetea serikali bungeni imepelekea kujishushia heshima yake kiasi Cha speaker akitoa maoni yake anaonekana msaliti.

Bunge lisikubali serikali ikope mpaka imepata maelezo ya kutosheleza. Kama Bunge lingesimama kwenye nafasi yake huu mkanganyiko usingetokea. Bunge lihame kwenye mrengo wa kutetea serikali na ihamie kwenye mrengo wa kuisimamia serikali na ikibidi kuweka zuio la kukopa madeni mengi.
Ni kweli lakini sio bunge litakaloongozwa na ndugai.

Bunge la Ndugai ni dhaifu na halifai. CAG Assad alikuwa akikagua na kuwapelekea ripoti ili achkue hatua lakini ni nini kilitokea???
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.

Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii

Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.

Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.

Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.

Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.

Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.

Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.

I migh end up being right again!

Paskali

Nazani kuna shida kwanza ya washauri wa kisiasa wa Presidaa wanampa manano ya kumpanikisha hiyo kauli ya homa ya 25 kapewa aseme na aliyefanya hivyo anatriger mgogoro tu, narudi kwenye hoja hapo Kusema jamaa afanye kinachotakiwa itategemea na utashi wake na namna uzoefu ulivyo, Tanzania ukisema hafu ukasusa ni kosa kubwa watakushughulikia ni vema ubanane nao humohumo hadi wao wakutoe ambapo najua kupata 2/3 ya kura ni ngumu sana
 
Hii conflict Kati ya executive na Bunge itufungue macho kwa hitaji la katiba mpya. Speaker kuzodolewa namna ile ni kuonesha ya kwamba Bunge letu halina nguvu. Katiba mpya inahitajika kuweka checks and balances. Tatizo ukisema katiba mpya watu wanafikiria CHADEMA basi, lakini madhara Kama haya hawayaoni.
Point point, haya yote yanatokana na kua na katiba mbovu
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.

Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii

Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.

Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.

Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.

Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.

Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.

Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.

I migh end up being right again!

Paskali

It is Never too late to do the right thing. Jamaa yetu asisubiri upepo uvume ili aione ilipo njeti ya Kuku, wakati ni huuhuu kabla vikao vya bunge kuanza hivi soon Na kukosa mahali pa kuficha USO wake, maana sio zamu za wakatoliki Na waislamu tu Bali sasa ni zamu ya wanaume Na wanawake kupokezana, hivyo mama tulia akson aanze kupiga jalamba in case worse becomes worse.

tulisemaga sisi kuwa madaraka ya rais ni makubwa mno wakadhani ni kilele za wapinzani tu kumbe sivyo bwana, ni kwa faida jata ya wavaa kijani. No safe zone.
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.

Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii

Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.

Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.

Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.

Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.

Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.

Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.

I migh end up being right again!

Paskali

Ki-Katiba Spika Kama anatokana na wabunge atapoteza nafasi ya uspika Kama hana sifa za kuwa mbunge. Sifa ya kuwa mbunge ni kuwa mwanachama wa Chama cha siasa! Rais ndiyo Mwenyekiti wa CCM kwa hiyo Chama kikimvua uanachama tu amekosa uspika na ubunge na hata Mafao halipwi.

Ila Ndugai ni mburula na wenzie akina Bashiru wamemtanguliza yeye naye kaingia kingi.
 
Mama inawezekana hana taarifa za kina kuwa hana support ya kutosha ndani ya CCM na atakuja kushituka kina Ndugai wako wengi tu wakiwemo wanaojidai kumuunga mkono leo hii kumbe wanamlia timing tu.

Kuna wataomuunga mkono kutafuta uteuzi tu na sio kwamba wako loyal kwake.
Hiyo haiwezi kutokea Rais Na Mwenyekiti wa chama Na amirijeshi mkuu na mkuu wa hazina ya nchi akose LA kufanya kuwasambaratisha maadui zake. Hiyo ni ndoto ya mchana kweupe, ccm asilia IPO intact, hao wanaobweka ni wale neo-ccm wageni Na wachanga kwenye chama kama akina wale watoto waliofishwa bungeni kupunguza shombo za kitoto. Mzee Yusufu Makamba mmoja ni sawa Na akina polepole 3000.
 
Back
Top Bottom