Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Mkuu umeongea vizuri sana. Asante sana wenye akili wamekuelewa.
 
Mkuu Pascal Mayalla nadhani hii ngoma bado mbichi.

Kwanza kabisa mi naamini Mh. Job Ndugai hakumaanisha kudharau mamlaka ya Rais, ila alichukulia ni kauli ya kawaida kama ambavyo unajua watanzania.

Ila Mh. Rais inaonekana hajiamini kabisa kutokana na makundi yaliyopo ndani ya CCM na hii ilichangiwa na huyo mnoko aliyemuambia adui yake ni shati la kijani (mtu huyu alijua madhaifu ya Mama akaona amfarakanishe kabisa na wana CCM ili wao ikija 2025 wapate pakutokea).

Jambo lingine lililopo mbele ni uwezekano wa Mama kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye (hii inawezekana kabisa kwa sababu mpaka sasa Mama ni dhahiri kifo cha Dkt Magufuli yeye ni kama alikipanga kitokee awe Rais (hii inatokana na kauli zake za kudra za mwenyezi mungu na uchu wa urais alionao).

Uchu wake wa urais umemjengea maadui wengi sana ndani ya CCM na kwa sasa wanamuangalia kama adui yao namba moja kiasi kwamba wabunge wengi wataunga mkono hoja ya kutokuwa na imani na rais.

Na Ndugai hawezi kuachia ngazi labda wamuue kwa sababu hana cha kupoteza.

Na huu ugomvi mama kautafuta mwenyewe kwa kuamini vitu ambavyo si vya kweli kwa sababu moyoni mwake kabisa Ndugai naamini hakumaanisha kudharau mamlaka ya rais na viongozi wote waandamizi wanamheshimu mama ila yeye mama inaonekana ni mtu wa kujishuku shuku, na hiyo inaweza pelekea kuungwa mkono Ndugai bungeni na hatimaye kumpigia kura ya kutokuwa na imani Mama.

Mama asipokuwa makini, hatoweza kutimiza miaka yake 5, atapigiwa kura ya kutokuwa na imani na urais wake ukaishia hapo na tena wanaweza hata kumfungulia mashitaka na anaweza kusota ndani kwa sababu yeye kaonekana kushangilia kifo cha mtangulizi wake na uchu wa urais (kwa sababu aelewe aliyekufa ni mtu mmoja-Dkt Magufuli na ile machinery ya urais ipo inamcheki vizuri mienendo yake).
 
Kupitia Hili la Leo nasema hivi hii ni itakua (Un-Popular Opinion) ila ndio ukweli.

'TANZANIA TUNAHITAJI MAPINDUZI YA KIJESHI NDIO TUENDELEE'
 
Ndugu wewe ndio huna ujualo kuhusu hili taifa kabisa.

Samahani kwa kukwambia hivyo.

Just scenario moja tu, Rais anafia madarakani halafu anaemfuatia ana-guts za kumtoa chief secretary kwenye nafasi yake unadhani ni tukio dogo???

Unajua umuhimu wa chief secretary kwenye serikali yoyote??

Fuatilia upya nguvu za rais hususan wa JMT
 
Lakini sio kwa mihimili ya Dola kudutana na kupigana vijembe (innuendos)
 
Rais mwenye madukuduku... kulikua na haja yeue kusema hivyo in public? Wana vikao vyao vya kukutana chamani si angetoa dukuduku huko??
 
29 t! Jamaa aliufyata.Leo kwa kuwa kiti kimekaliwa na K eti ndiyo anakemea mikopo[emoji848][emoji848][emoji848].Unafiki mtupu.
 
Rais mwenye madukuduku... kulikua na haja yeue kusema hivyo in public? Wana vikao vyao vya kukutana chamani si angetoa dukuduku huko??
Mtaelewa tu. Unadhani Ndungai hajui kuhusiana na mkopo?? Kulikuwa na haja gani ya kujiropokea kama mwehu??

Jino kwa jino.

Tena kabla hata ya 2023 hilo kundi litakuwa limeparaganyika lote
 
Relief Mirzska nguvu ya rais inatokana na uungwaji mkono na wenye nchi. Mama mpaka sasa wenye nchi keshawauzi (kuonesha furaha yake kwa kifo cha Dkt Magufuli na uchu wa urais).

Ukikosa sapoti ya wenye nchi hata ufanyeje. Na hii inajidhihirisha kwenye changuzi za ndani za wagombea wa urais CCM. Unakumbuka Dkt Magufuli alivyopita?? Unadhani alipita kwa matakwa ya JK? Wenye nchi walifanya yao mpaka JK kajikuta hana jinsi. So ujue rais kama hana sapoti ya wenye nchi hana nguvu. Na kumbuka wenye nchi bado wana machungu ya kufiwa na rais wao.
 
Ndugai anachelewa alitakiwa sasa hivi awe ameshatangaza bunge la dharuara wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani
 
MODS Neeful kwenye kichwa cha Post isomeke Needful, rekebisheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…