Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Lakini si alishajiwekea kinga ya kutoshitakiwa wakati ule???Yeye kama mkuu wa mhimili kukaa na kuangalia tu COVID 19 wakilipwa kinyume cha sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si alishajiwekea kinga ya kutoshitakiwa wakati ule???Yeye kama mkuu wa mhimili kukaa na kuangalia tu COVID 19 wakilipwa kinyume cha sheria.
Mkuu umeongea vizuri sana. Asante sana wenye akili wamekuelewa.Hii conflict Kati ya executive na Bunge itufungue macho kwa hitaji la katiba mpya. Speaker kuzodolewa namna ile ni kuonesha ya kwamba Bunge letu halina nguvu. Katiba mpya inahitajika kuweka checks and balances. Tatizo ukisema katiba mpya watu wanafikiria CHADEMA basi, lakini madhara Kama haya hawayaoni.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wanyonge ndiyo nyie mataga pori ???
Acha utani bana 🤣🤣🤣
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.
Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii
Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.
Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.
Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.
Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.
Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.
Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.
I migh end up being right again!Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Paskali
Thubutu yake.Lakini si alishajiwekea kinga ya kutoshitakiwa wakati ule???
Mtaani kugumu, ugali mtamuKwa hulka yake, hawezi kuresign! Kama aliweza kumtandika rungu la kichwa hadharani mwenzake kwenye uchaguzi, hawezi ku-do the needful! he is here to stay otherwise wamng'oe!
Ndugu wewe ndio huna ujualo kuhusu hili taifa kabisa.Mkuu Pascal Mayalla nadhani hii ngoma bado mbichi.
Kwanza kabisa mi naamini Mh. Job Ndugai hakumaanisha kudharau mamlaka ya Rais, ila alichukulia ni kauli ya kawaida kama ambavyo unajua watanzania.
Ila Mh. Rais inaonekana hajiamini kabisa kutokana na makundi yaliyopo ndani ya CCM na hii ilichangiwa na huyo mnoko aliyemuambia adui yake ni shati la kijani (mtu huyu alijua madhaifu ya Mama akaona amfarakanishe kabisa na wana CCM ili wao ikija 2025 wapate pakutokea).
Jambo lingine lililopo mbele ni uwezekano wa Mama kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye (hii inawezekana kabisa kwa sababu mpaka sasa Mama ni dhahiri kifo cha Dkt Magufuli yeye ni kama alikipanga kitokee awe Rais (hii inatokana na kauli zake za kudra za mwenyezi mungu na uchu wa urais alionao).
Uchu wake wa urais umemjengea maadui wengi sana ndani ya CCM na kwa sasa wanamuangalia kama adui yao namba moja kiasi kwamba wabunge wengi wataunga mkono hoja ya kutokuwa na imani na rais.
Na Ndugai hawezi kuachia ngazi labda wamuue kwa sababu hana cha kupoteza.
Na huu ugomvi mama kautafuta mwenyewe kwa kuamini vitu ambavyo si vya kweli kwa sababu moyoni mwake kabisa Ndugai naamini hakumaanisha kudharau mamlaka ya rais na viongozi wote waandamizi wanamheshimu mama ila yeye mama inaonekana ni mtu wa kujishuku shuku, na hiyo inaweza pelekea kuungwa mkono Ndugai bungeni na hatimaye kumpigia kura ya kutokuwa na imani Mama.
Mama asipokuwa makini, hatoweza kutimiza miaka yake 5, atapigiwa kura ya kutokuwa na imani na urais wake ukaishia hapo na tena wanaweza hata kumfungulia mashitaka na anaweza kusota ndani kwa sababu yeye kaonekana kushangilia kifo cha mtangulizi wake na uchu wa urais (kwa sababu aelewe aliyekufa ni mtu mmoja-Dkt Magufuli na ile machinery ya urais ipo inamcheki vizuri mienendo yake).
Lakini sio kwa mihimili ya Dola kudutana na kupigana vijembe (innuendos)Mtu wetu hatakiwi kufanya hicho unachotazamia kuifanya......kwa kilichoonekana ni kwamba taasisi ya u rais imelewa madaraka....na haikubali kupokea mawazo au maoni yanayokinzana na utashi wao..
Taasisi ya u rais imejaa ubabe na utemi unaojengewa kiburi na KATIBA mbovu.
Hii inaonyesha ni jinsi gani tuna mhimili dhaifu kwa kuwa serikali imetawaliwa na ubabe badala ya hoja.
Tuna watawala wanafiki wasiokubaliana na kile walicho tuhakikishia kuwa wanakiamini.
Pale PM amebamizwa anatakiwa ajiongeze usiku wa leo ajiweke kando.Walikuwa wakiimba Serikali ya mpito, Serikali ya mpito huko Bungeni Kwa akina Kassim Majaliwa.
Lilikuwa ni Jiwe gizani kwa PM.
Tuliza wenge bwasheeTukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.
Hiyo hela inaenda wapi?
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
29 t! Jamaa aliufyata.Leo kwa kuwa kiti kimekaliwa na K eti ndiyo anakemea mikopo[emoji848][emoji848][emoji848].Unafiki mtupu.Mtu wetu hatakiwi kufanya hicho unachotazamia kuifanya......kwa kilichoonekana ni kwamba taasisi ya u rais imelewa madaraka....na haikubali kupokea mawazo au maoni yanayokinzana na utashi wao..
Taasisi ya u rais imejaa ubabe na utemi unaojengewa kiburi na KATIBA mbovu.
Hii inaonyesha ni jinsi gani tuna mhimili dhaifu kwa kuwa serikali imetawaliwa na ubabe badala ya hoja.
Tuna watawala wanafiki wasiokubaliana na kile walicho tuhakikishia kuwa wanakiamini.
Mtaelewa tu. Unadhani Ndungai hajui kuhusiana na mkopo?? Kulikuwa na haja gani ya kujiropokea kama mwehu??Rais mwenye madukuduku... kulikua na haja yeue kusema hivyo in public? Wana vikao vyao vya kukutana chamani si angetoa dukuduku huko??
Relief Mirzska nguvu ya rais inatokana na uungwaji mkono na wenye nchi. Mama mpaka sasa wenye nchi keshawauzi (kuonesha furaha yake kwa kifo cha Dkt Magufuli na uchu wa urais).Ndugu wewe ndio huna ujualo kuhusu hili taifa kabisa.
Samahani kwa kukwambia hivyo.
Just scenario moja tu, Rais anafia madarakani halafu anaemfuatia ana-guts za kumtoa chief secretary kwenye nafasi yake unadhani ni tukio dogo???
Unajua umuhimu wa chief secretary kwenye serikali yoyote??
Fuatilia upya nguvu za rais hususan wa JMT
Walishindwa Lowassa, Sumaye Na kingunge kuivuruga ccm sembuse ndugai?Kilitokea kundi kubwa wakiwa na "imani " na mtu wao ambae alikuwa na pesa na ushawishi mpaka kwa baadhi ya wana CHADEMA.
Mwenyekiti wa Chama alikuja na kumkata hata 5 minutes haikuchukua.
Hebu tumtafute Jumbe Brown atukumbushe