Relief Mirzska nguvu ya rais inatokana na uungwaji mkono na wenye nchi. Mama mpaka sasa wenye nchi keshawauzi (kuonesha furaha yake kwa kifo cha Dkt Magufuli na uchu wa urais).
Ukikosa sapoti ya wenye nchi hata ufanyeje. Na hii inajidhihirisha kwenye changuzi za ndani za wagombea wa urais CCM. Unakumbuka Dkt Magufuli alivyopita?? Unadhani alipita kwa matakwa ya JK? Wenye nchi walifanya yao mpaka JK kajikuta hana jinsi. So ujue rais kama hana sapoti ya wenye nchi hana nguvu. Na kumbuka wenye nchi bado wana machungu ya kufiwa na rais wao.