Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Mtaelewa tu. Unadhani Ndungai hajui kuhusiana na mkopo?? Kulikuwa na haja gani ya kujiropokea kama mwehu??

Jino kwa jino.

Tena kabla hata ya 2023 hilo kundi litakuwa limeparaganyika lote
Kundi lenyewe linajulikana lote A-Z, kundi hili halikutaka Samia aapishwe, kundi hili anakosekana Dr. Mpango tu lambda Na Mwigulu.
 
Relief Mirzska nguvu ya rais inatokana na uungwaji mkono na wenye nchi. Mama mpaka sasa wenye nchi keshawauzi (kuonesha furaha yake kwa kifo cha Dkt Magufuli na uchu wa urais).

Ukikosa sapoti ya wenye nchi hata ufanyeje. Na hii inajidhihirisha kwenye changuzi za ndani za wagombea wa urais CCM. Unakumbuka Dkt Magufuli alivyopita?? Unadhani alipita kwa matakwa ya JK? Wenye nchi walifanya yao mpaka JK kajikuta hana jinsi. So ujue rais kama hana sapoti ya wenye nchi hana nguvu. Na kumbuka wenye nchi bado wana machungu ya kufiwa na rais wao.
Mkuu,

Mpaka haya yote yana-take place basi wenye nchi wanajua linalotokea na wametoa go ahead ya kila kitu.

Mkuu, watu wa mwendazake hawakutaka kabisa kuwe na rais mwengine asietoka kwenye kundi Lao. Mpango wa kuliandaa bunge la chama kimoja lilisanifiwa na watu wale na walikuwa wanaenda kutuharibia Tanzania yetu.

Pengine "yaliyofanyika" yakafanyìka.

Sikiliza mkuu, General Mabeyo alikwenda kuzungumza na Mama yetu kipenzi na Mama anajua alitendalo.

TISS ni moja ya taasisi za usalama imara sana hapa Tanzania. Ndio maana hatutoingia machafukoni kamwe na kila kitu kinakwenda. Kongole kwao!

Mama anayo full support ya wenye nchi na ndie rais wetu mpaka angalau 2030 kama Mola atampa uhai. Na Sisi wapenda haki hatutaacha kumuombea
 
Kundi lenyewe linajulikana lote A-Z, kundi hili halikutaka Samia aapishwe, kundi hili anakosekana Dr. Mpango tu lambda Na Mwigulu.
Na ndio wenye nchi wakasema msituletee ujinga wenu.

Mama ataapishwa na ataongoza hii nchi.

Tunawakumbusha tu, Mama Samia Suluhu Hassan ni Rasi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
 
Na ndio wenye nchi wakasema msituletee ujinga wenu.

Mama ataapishwa na ataongoza hii nchi.

Tunawakumbusha tu, Mama Samia Suluhu Hassan ni Rasi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Mama yupo hapo kwa huruma tu za watu...
Sio kwa ujanja wake.
 
Ajiuzuru kwakweli maana kavuliwa nguo! Tatizo labda ni uoga wa mafao lakini kubakiza japo heshima ndogo kabisa aondoke zake.
 
Sure, but a a glaring anomaly. Mihimili inatakiwa kuwa huru. Lakini wanaCCM hawana stahili ya kuhoji hili.
Tunajua mkuu.

Tunajua hii mihimili inatakiwa iwe huru ila nikwambie tu hatuishi kwenye makaratasi tunaishi kwenye uhalisia.

Inabidi tutambue hili
 
"it is dangerous to be right when the government is wrong" Voltaire

kiufupi huyu mwanadishi wa kifaransa anajaribu kuonyeasha kuwa ni hatari pale mtu anapokua sahihi halafu serikali inakosea.

Mimi nadhani mtu wetu yuko sahihi inatakiwa akomae nao tu, kwa nafasi yake au kama mwananchi wa kawaida anayo haki ya kuhoji anapoona mambo meusi na ingekua tamu sana kama angekuja kutumia hii kwenye jukwaa lake.

Natamani nione siku moja kila nguzo ifanye kazi yake bila kuingiliwa na nguzo nyingine ili tuone ile check n balance yenyewe
Atarudiaje msimamo wa awali wakati ameikana ile clip ni ya kutungwa na hakusema hivyo?

Nduga anapaswa akae kimya, atafute stooge wake wamtetee yeye abakie nyuma kuwa alishaomba msamaha.
 
sijui itakuwa vipi mama akiamua liwalo na liwe akamkabidhi madaraka mbowe kwenye fair election, ccm watalia
 
Back
Top Bottom