Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,
Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,
Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,
Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,
Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,