Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

Shaka????

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Kukaa nae karibu mnaona aibu, mtoto heluwa heluwaaa
 
Basi utakuwa unajihusisha na zile shughuli za Shaka! Zile zilikuwa zinampeleka wakati wa Likizo Mombasa na Lamu. [emoji2957][emoji2957]
😀😀😀 Naona hoja hakuna kabisa tena,

Mmebaki kutukana na kudhalilisha tu
 
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,

Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,

Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,

Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,

Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,

View attachment 2157297
Sasa hii taarifa yako mbona ipo biased?

onyesha hizo boda boda tatu za Mbowe hai?

acha kukimbia kimbia kama unahalisha harafu maji ya kuchamba huna!!
 
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,

Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,

Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,

Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,

Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,

View attachment 2157297
Baki hukohuko chooni hadi umalize kuharisha
 
Waliompokea Mbowe wametoka nchi nzima lakini hawafiki elfu moja
 
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,

Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,

Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,

Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,

Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,

View attachment 2157297
Hui ndo unafiki SASA

Ila teuzi ndo zinaisha
 
Acha kujitoa ufahamu.

CCM ni ya wakulima na wafanyakazi.

Yaani watanzania wote wakiwemo na wanafunzi.

CCM hoyeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom