Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

Kumbe ndio maana mlifunga!!! Sikujua kama kuna hofu kubwa namna hii.
 
Tangu lini dj akawa na mvuto?

CHADEMA imeshakufa ,maziko yake no 2025
 
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,

Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,

Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,

Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,

Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,

View attachment 2157297
Hiki ndio wengi tulikua hatutaki kuona.

Mashindano nani anajaza mikutano ya hadhara badala ya kuacha waliyokabidhiwa dola kufanya kazi kutekeleza ahadi zao.
 
=== Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya, Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai, Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha, Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania, Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa, Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu, View attachment 2157297

ENDELEA KUPATA MAUMIVU TARATIIIBUUU
 
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,

Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,

Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,

Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,

Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,

View attachment 2157297
Hivi Shaka ni wa kulingalishwa na Mbowe.

Huyu Shaka gukiyemfahamu mwaka jana au Shaka mwingine....!!

Akili nyingine ni shida tupu.....!!
 
CCM mpaka Wanafunzi na Watumishi wanaletwa kwa Malori
Kama imefika mahali tunashindanisha watu kwa idadi ya mapokezi basi kiukweli tumekwisha, tumefilisika.

Sijui hii inaletaje maendeleo ya kweli.

Bora waendao kwa Mwamposya kwani wana tumaini la uponyaji.

Je, hawa mnaoshindania mnapataje kuponywa ikiwa wengi au ni kiduchu.

Kitu muhimu ni kuelewa na kujielewa eleweni.
 
Na wakati huo huo majority kupata hata mlo mmoja ni mtihani, kweli we are a failed state.
 
===
Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya,

Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,

Ukweli ni kwamba mpaka naandika makala hii Chama cha Mapinduzi ndio Chama kinachopendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania kuliko chama chochote Tanzania,

Ushahidi ni hizi ziara za viongozi hawa wawili wa Kitaifa mmoja akitua Arusha ( Ugenini ) mwingine akitua jimboni kwake alikozaliwa,

Angalia hii video ya Mhe Shaka Hamdu Shaka mpaka mwisho kisha linganisha na msafara ule wa bodaboda chache za kukodi zilizompokea Mkt wa CHADEMA jimboni kwake Hai,ni aibu,

View attachment 2157297
Jf boss anzisha jukwaa la watoto kwani wanaleta mambo Yao ya kitoto humu kwenye jukwaa la wenye uelewa!
 
Naona humjui anayeliwa kiboga kwa hiyo unaparamia kila mtu; basi kwa taarifa yako yuko huko majuu anashikishwa ukuta na akina rob amster.
Yani nyie mmeamua kabisa kuweka aliyeolewa Mombasa kama kiongozi wenu wa chama na bado unapata nguvu ya kubishana?

Unamuongelea shujaa aliyetakiwa kuteketea kwa risasi za Mungu wenu mshenzi kabisa .

Unamuongelea shujaa mwenye mke na watoto wanaohangaika sababu ya Mungu wenu asiyependa kuhojiwa na mwenye mahasira ya kijinga mpaka kutaka kuua kila anayemchallenge.

Hebu tuonyeshe huyo kiongozi wenu aliyeenda Dubai kununua mikorogo na kujibinua kwa waarabu.
 
Muhimu kuwe na siasa za ustaarabu tuu, watu wabishane kwa hoja na sio kukimbilia kung'ata.
 
Back
Top Bottom