Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

Nguvu yao iko kwenye kupingapinga na kuandamana sio ushawishi wa hoja.

Bahati mbaya zote Mama Samia amezi- tackle effectively kupitia mtindo wake wa uongozi na miradi lukuki ya maendeleo inayoonekana hata kwa mwananchi wa kawaida.
 
Kongamano la UWT kumpongeza Samia sasa hayo ndio mapokezi ya Shaka mngekuwa mnapendwa hivyo mngehangaika kupora kura na kuvuruga uchaguzi mzima kama alivyofanya yule jamaa yenu kisha akasombwa na mafuriko ya Mungu.
 
Nguvu yao iko kwenye kupingapinga na kuandamana sio ushawishi wa hoja.

Bahati mbaya zote Mama Samia amezi- tackle effectively kupitia mtindo wake wa uongozi na miradi lukuki ya maendeleo inayoonekana hata kwa mwananchi wa kawaida.
Uko sahihi 100%
 
Hii ndio ametikisa arusha 🤣
🤣 🤣 🤣 nimecheka sana naapa!
Malori kutoka;
arumeru
Usa river
kikatiti
Oldonyo sambu
Monduli
😄
😄 😄 😄
 
... Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai,

... Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu ya watu jijini Arusha,
Anhaa, kumbe mmoja alikuwa jijini na mwingine jimboni, na bado unawalinganisha. Sawa basi
 
Back
Top Bottom