Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

Kumbe ndio maana mlifunga!!! Sikujua kama kuna hofu kubwa namna hii.
 
Tangu lini dj akawa na mvuto?

CHADEMA imeshakufa ,maziko yake no 2025
 
Hiki ndio wengi tulikua hatutaki kuona.

Mashindano nani anajaza mikutano ya hadhara badala ya kuacha waliyokabidhiwa dola kufanya kazi kutekeleza ahadi zao.
 

ENDELEA KUPATA MAUMIVU TARATIIIBUUU
 
Hivi Shaka ni wa kulingalishwa na Mbowe.

Huyu Shaka gukiyemfahamu mwaka jana au Shaka mwingine....!!

Akili nyingine ni shida tupu.....!!
 
CCM mpaka Wanafunzi na Watumishi wanaletwa kwa Malori
Kama imefika mahali tunashindanisha watu kwa idadi ya mapokezi basi kiukweli tumekwisha, tumefilisika.

Sijui hii inaletaje maendeleo ya kweli.

Bora waendao kwa Mwamposya kwani wana tumaini la uponyaji.

Je, hawa mnaoshindania mnapataje kuponywa ikiwa wengi au ni kiduchu.

Kitu muhimu ni kuelewa na kujielewa eleweni.
 
Na wakati huo huo majority kupata hata mlo mmoja ni mtihani, kweli we are a failed state.
 
Jf boss anzisha jukwaa la watoto kwani wanaleta mambo Yao ya kitoto humu kwenye jukwaa la wenye uelewa!
 
Naona humjui anayeliwa kiboga kwa hiyo unaparamia kila mtu; basi kwa taarifa yako yuko huko majuu anashikishwa ukuta na akina rob amster.
Yani nyie mmeamua kabisa kuweka aliyeolewa Mombasa kama kiongozi wenu wa chama na bado unapata nguvu ya kubishana?

Unamuongelea shujaa aliyetakiwa kuteketea kwa risasi za Mungu wenu mshenzi kabisa .

Unamuongelea shujaa mwenye mke na watoto wanaohangaika sababu ya Mungu wenu asiyependa kuhojiwa na mwenye mahasira ya kijinga mpaka kutaka kuua kila anayemchallenge.

Hebu tuonyeshe huyo kiongozi wenu aliyeenda Dubai kununua mikorogo na kujibinua kwa waarabu.
 
CCM bhana
Your browser is not able to display this video.
 
Muhimu kuwe na siasa za ustaarabu tuu, watu wabishane kwa hoja na sio kukimbilia kung'ata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…