Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

Sometimes ni kazi kumwelewa binadamu yukoje rafiki.

Masanja amepost picha na maelezo kidogo ambapo, hatujui anaelezea itakavyokuwa au vipi. Tayari tumeshanyanyuka naye kumparua.
 
Itagika kipindi vyombo vya habari bitaandika "kiingozi fulani afanikiwa kunya keki, ni nzuri sana"
 
Shida ni moja kwa Abbas, yeye sio mtaalamu na wala hana uelewa wowote na mambo ya uchumi, halafu anajibu maswali ya kiuchumi kichwa kichwa.

Yaani Abbas ameonyesha ni mweupe kichwani sijawahi kuona.
Shida ya watu kama hawa ambao wana nafasi nyeti kama hizi hawasomi vitabu wala kufanya research kabla kupeleka jambo public...

Katibu mkuu anafanya siasa uongo uongo...
 
Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
 
Shida ni moja kwa Abbas, yeye sio mtaalamu na wala hana uelewa wowote na mambo ya uchumi, halafu anajibu maswali ya kiuchumi kichwa kichwa.

Yaani Abbas ameonyesha ni mweupe kichwani sijawahi kuona.
Jamaa anakera sana. Halafu kutwa kupanga foleni kwenye media kuwaeleza uongo na wenyewe wanaitika tuu
 
Chadem na nyie tupostien maendeleo yenu basi au nyie sio waendelezaji
 
Wachungaji uchwara hawa, nae unakuta anamkandia nabii tito kuwa amechizika
 
Kwani wapi kasema serikali imepanua au mimi ndo sijui kusoma?
Au huo upanuzi haujatokea katika miaka hii mitano?
Serikali ingemkandamiza Asas angeweza?
 
We ulitaka aseme sh ngapi kwa mfano ...
 
Mkuu labda hii taarifa inawalenga mazuzu wenzake wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…