Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Shughuli na iendelee tu.,hawataweza kupambana na sauti ya umma
 
...baada ya kufanya attempt kama tano za kuloggin zikafail nikajua tayari jf imevamiwa, hongereni kwa kurudi hewani, jazeni provisional results kwenye nyuzi za mikoa/majimbo...
 
Nashukuru maana nilidhani ni simu lakini hata ktk laptop sikupata mawasiliano hongereni sana
 
Poleni sana wakuu. Na pongezi kwa kushinda vita dhidi ya wataalamu mafedhuli hao.
 
Kuna haja ya kuwa na contingency plan next time ... Hot Standby Server ni Muhimu sana ...
 
Poleni sana wakuu. Na pongezi kwa kushinda vita dhidi ya wataalamu mafedhuli hao.

Mkuu kweli wataalam mafedhuli, bure kabisa walikosa ishu ya kufanya. JF ndio kwetu
 
Ni upumbavu kuona serikali yetu wanafanya mambo ya kipuuzi ya kuhack site kama jamii forum na simu za viongozi wa Chadema. CIA walikukuwa hacked sembuse serikali ya Tanzania
 
Wengine hatukulaala usiku kucha
Dah..lazima muweke safe guards kuzia jaribio lifuatalo
 
Melo, Mungu ailinde JF na timu ya wanaJF wote, ndo ombi langu

Hatujui wanajipanga vipi, lakini Mungu awapumbaze sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom