chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mie nilichanganyikiwa mpaka nikaanza kutafuta mitandao ya ajabu kweli JAMII FORUMS kiboko japokua wkt mwingine tunatukanana lkn habari za humu kiboko.Jana nilipoona haipatikani, nilitaka kulia!!
Poleni sana wakuu. Na pongezi kwa kushinda vita dhidi ya wataalamu mafedhuli hao.