Baada ya Master J kumkejeli Ali Kiba kuwa ni mbana pua, Ali Kiba ajibu mapigo

Hapo sasa kumbuka ni brand ambassador wa Stanbic! Ngoja tuone! Master J hana cha kupoteza ni mstaafu yule!


View: https://x.com/StanbicBankTZ/status/1895353279720120459
 
Huwa nawashangaa wanaolipia fedha zao kuisikiliza misanii ya muziki ya kibongo ni makelele tu hakuna mwenye afadhali hata mmoja.
 
Ila wewe unaujua mziki? Unaweza panda kwa stage kushindana na kiba, mmakonde sjui domo?
 
MJ alijibu swali na kumshusha sana tena kwa kejeli kubwa inayoonesha chuki, na kama hawakuwa na ugomvi wowote MJ kama mtu wanayemuheshimu ktk hiyo industry hakutakuwa kutoa ushubwada alodadavua zaidi msisitizo wa kumshusha, hata kama mtu hajui ana haki pia ya kusemewa kwa staha, Kiba ana haki ya kujibu vilevile kama alivoongelewa
 
Hivyo ni vionjo mzee tunes za studio sio rahisi kuzipata live 100%! Hata nchi zilizoendelea!
 
Master J yupo sahihi
Tatizo ni namna alivyo wasilisha hoja zake.... kuna kebehi ndani yake

Kwa level ya Master J anapaswa kujua jinsi watu walivyo hustle kujenga brand zao kupitia muziki
So unapo toa maoni yako toa kwanjia za kiungwana

Namuelewa kwanini Kiba amekasirika na yeye akajibu mashambulizi
 
Chambaneni vya kutosha wanawake tumekaa kimya tunawasoma 🀣🀣
 
Master J ana jealous ana ile kitu inaitwa Crab Mentality
(kaa kwenye ndoo.) Maana anajariibu kuongelea vibaya watu ambao wame-hustle Kwa jasho na Damu kujenga brand zao na Leo they made it

Unaweza kuona kupitia vijana Kama Alikiba jinsi walivyoubadilisha muziki na Kuwa biashara kubwa na kutoa ajira rukuki
 
Sio sawa Ali Kiba kumuita Master Jay ni shoga kisa kamkosoa. Hakuna tusi kwa mwanaume ni la kudhalilisha kama kuitwa shoga.
Wapii kasema ni Shoga? Na lini ushoga ikawa tusi? Una fikra potofu wee
 

Master jay naona kama tayari alikuwa amekunywa lakini pia, nachoona watu wengi wanailinda ego ya Ali Kiba lakini MJ alimuongelea Ali kiba kimuziki, Ali kiba Amemuattack kwa kumpa tuhuma nzito sana. Kuna tofauti hapo ukiangalia kwa ukarbu

Ni sawa ni mfanyakazi mwenzio akuambie hujui kazi na wewe umjibu.. Mbona yeye ni upinde. Unaweza pata picha hapo
 
Kumuita master jay ni upinde tayari kamchafua lakini pia imemshusha Ali kiba kwa level mbaya sana. Mitandaoni atapigiwa heko, ila kwa watu wenye ufahamu anaonekana amekosa emotional intelligence
Kama anavyosema Kenny Rogers katika Coward of the country kuwa ni muhimu kuwa humble na kuhakikisha haujibu mashambulizi hii itakufanya uwe safe Sana Ila akitokea mjinga anataka kukupanda kichwani don't hesitate to give him or her a f**
 

MJ amekuwa kama activist wa muziki kwa hiyo huwa anapambania quality irudi hususani ya live performance. Kilichotokea Trace Music Awards kwa mtu yoyote mwenye akili atajua master jay alikuwa sahihi muda wote.

By the way ukitoa consitency, Ali Kiba ana impact gani kwenye bongo flava kama genre na kibiashara hadi aitwe King. Au na wewe mkuu umejaa kwenye strategy za kina Seven walivyomrudisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…