Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 730
- 1,478
Wasanii wa bongo waende kupiga live band kwenye shoo za ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea mama mtumishiMaster J amekua akimdiss Kiba kwa muda mrefu sasa! Bora alivyojibiwa.
Nitashindana vipi na wasanii wa studioIla wewe unaujua mziki? Unaweza panda kwa stage kushindana na kiba, mmakonde sjui domo?
Shida ni kwamba kuna wakati ukifika wakati kama huu inabidi utumie busara ukiwa mtu mzima usiropoke maana watoto watakushushia heshima.Tatizo Master Jay mziki anaujua. Am sorry king, he got you this time.
Sema na wewe Master jiheshimu. Profile yako ni kubwa sana kuzungumza kama ulivyozungumza. Ni kama umemtukana Kiba ungeweza kutetea hoja yako katika namna nyingine bora zaidi ya hiyo.
Kiba naye kapanic kajibu kama msela wa Manzese.
Kwa hiyo unaona alivyojibu Ali Kiba ni sawa. Karusha personal attack nzito na mnaona sawa.Kama anavyosema Kenny Rogers katika Coward of the country kuwa ni muhimu kuwa humble na kuhakikisha haujibu mashambulizi hii itakufanya uwe safe Sana Ila akitokea mjinga anataka kukupanda kichwani don't hesitate to give him or her a f**
Kumuita master jay ni upinde tayari kamchafua lakini pia imemshusha Ali kiba kwa level mbaya sana. Mitandaoni atapigiwa heko, ila kwa watu wenye ufahamu anaonekana amekosa emotional intelligence
Kama analiwa kweli kama huyo mastaa haliwi tusi mkuuKwa hiyo mwanaume kuambiwa anafirwa sio tusi?
Ijuma kwenye BSS Diamond alupokuwa mgeni rasmi, aliongea kwa hekima sana kuhusu Master J.Ali Kiba sio mbovu kwenye kupeform live lakini sio kama ana sauti powerful kama ya Bien..
Nadhani master alichokosea ni kuongea kwa kumshusha Ali kiba kupita kiasi na Ali Kiba nae amejibu kiswahiliswahili na kwa jeuri kubwa ambayo huwa anaificha kwenye ukimya wake.
Kwa hiyo unaona alivyojibu Ali Kiba ni sawa. Karusha personal attack nzito na mnaona sawa.
Angeenda marekani hapo akaona jinsi Aretha Franklin alimtupia Kombora Taylor Swift kuwa yani ni beautiful gowns Tu. Hana talent wala chochote na Taylor hakujibu kitu
Hii ya kuambiwa sio vocalist na anaimba kama wahindi ama waarabu "baibuda". Mnaona ni tusi kubwa la kutolea tuhuma nzito
Mkuu kwenye ulimwengu wa Bongo fleva “kubana pua” ni tusi kubwa sana...... ni vile tu watu hawajuiMaster jay naona kama tayari alikuwa amekunywa lakini pia, nachoona watu wengi wanailinda ego ya Ali Kiba lakini MJ alimuongelea Ali kiba kimuziki, Ali kiba Amemuattack kwa kumpa tuhuma nzito sana. Kuna tofauti hapo ukiangalia kwa ukarbu
Ni sawa ni mfanyakazi mwenzio akuambie hujui kazi na wewe umjibu.. Mbona yeye ni upinde. Unaweza pata picha hapo
Sure Mkuu tatizo la nchi zetu za dunia ya tatu .Shida ni kwamba kuna wakati ukifika wakati kama huu inabidi utumie busara ukiwa mtu mzima usiropoke maana watoto watakushushia heshima.
Master watoto wanamdhalilisha sasa mtandaoni
Mkuu kwenye ulimwengu wa Bongo fleva “kubana pua” ni tusi kubwa sana...... ni vile tu watu hawajui
Yes Ali Kiba ana ego lakini katika hili amechokozwa na akakasirika
Mtu akikasirika akishindwa kujizuia anakupa za uso ili mradi na wewe uumie
Master J asinge ropoka unadhani Ali angemtusi kweli?
Siku za hivi karibuni masterj kawa mjinga nadhani ana matatizo ya akiliKatika kukosoa kuna kitu kinaitwa
Constructive criticism na destructive criticism.
Sasa unapozungumzia EI Emotional intelligence ambaye hana hiyo kitu ni master J kutokana na umri wake mkubwa lazima awe anatumia Sana akili kuliko hisia na na akiwa amelewa pombe ajizuie kufanya interview
Maana msanii ambaye anafanya mziki wake zaidi ya maika 18 Kama A -list iweje Leo hii useme hajui kuimba
Alikiba alichojibu sio sahihi Ila itamfanya huyo master j next time asiwe mtu wa kuropoka
Siku za hivi karibuni masterj kawa mjinga nadhani ana matatizo ya akili
Master Jay ni mtu mzima aliyekosa hekima.Master J amekua akimdiss Kiba kwa muda mrefu sasa! Bora alivyojibiwa.
Uzee una mengiTangia anyoe Rasta mwaka 2020 na kuhamia Ccm ili agombee ubunge kichwa hakijarudi katika hali yake.
Pia anaweza Kuwa anasumbuliwa na ile kitu inaitwa crab mentality
kwani pua abani kweli? hiko ndiyo kitu pekee toka aanze tasnia hii,na hayupo flexible kabisa.Na ni kweli kwa sasa sijaona rnb artist waku mfikia Bienaimesol east africa..