MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
- #41
YEAH alikuwa ana jengo mtaani kwetuUnampata yule Mzee? maarufu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YEAH alikuwa ana jengo mtaani kwetuUnampata yule Mzee? maarufu sana
Kwel hawa wainjilist c poa...leo naona wameweka hadi betting...yupo aliendoka na pikpiknimepita mkuu kweli maandalizi si ya kitoto
huu utaratibu wa kutoa bastola misiban unaanza kukua kwa kasi bila kufatwa kwa sheria nlienda msiba mmoja tarme baada ya mazshi nljua nko somalia jamaa kama 8 walitoa bastola na kuanza kupga hewan wakijbizana kwamba nan yake inakishindo hata ambae ukumzania kama ana bastola nae anatoa anapga juu ni kama sifa sasa baada ya mazshi watu kupga rsas juu hii inapelekea watu kuazmana bastola mjin na kuja kuvimba nazo vijijin kwenye misiba hii kitu n hatar sana vyombo vnavyo husika vchukue hatua
Muhimu wote wanaomiliki silaha
Wasajiliwe upya na kupewa masharti makali ikiwepo kupimwa akili . Watumia vilevi wote wasipewe silaha.
Nchi karibu zote duniani na nusu ya marekani wanapinga raia kumiliki silaha sasa sijui kwanini hapa Ilionekana umuhimu raia kununua silaha