Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo


Hakuna mwenye Akili timamu aliepata silaha yake kihalali kutoka serikalini kwa minajiri ya ulinzi binafsi wake yeye na ‘Mali’ zake anaweza kumpa mtu silaha yake (kumuazima akatambe nayo)!!!

Hebu tujitahidi kusoma Sheria na miongozo ya umiliki wa silaha hapa Tanzania ukoje kwa watu binafsi.

By the way; tukumbuke popote pale duniani zipo silaha zinazomilikiwa na pande zote za jamii (Serikali & Binafsi) zinazotoka black market! Hasa maeneo yote yenye vita ama yenye kupakana na maeneo yenye vita! Hizi hazina masharti wala miongozo ni faranga yako tu!!
 

Hapo kwa watumia vilevi; are you sure wote watumiao wanyimwe?

Seems like you’re living in a fantasy!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…