Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani.
Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani.
Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule.
Wana kila kitu kuanzia rasilimali fedha na madaraka, ila wanaogopa maneno ya watu ambao hawana hata rungu.
Unafiki ni hivi hivi tu?
Kwa kifupi, watateseka mpaka siku wanakufa.