Tulishawastukia kitambo, hilo ni tawi kamili la ccm.Naona michezo ya kikachero imeanza,Hio ni Zuga tu ili ionekane ACT nao wanapitia Magumu kama ya Chadema.
HAKUNA HATUA ZOZOTE ZITACHUKULIWA DHIDI YA ACT.
Hataivo kiliundwa na yeye ili kimsaidie 2015wenye akili tayari wanaanza kujiuliza hili pia maana Jamaa alisema ujesusi hadi MTU afe ndio unakoma, so alipo yuko kazini
TUIACHE SHERIA IFUATE MKONDO WAKE kwa kuzingatia kuwa hakuna aliye juu ya sheria na kwamba Tanzania ndiyo nyumbani. Hakuna kwengine kwa kukimbilia iwapo timbwili la kujitakia likiibuliwa na wanasiasa wachache wachumia matumbo.
Huko Tweeter Membe na Lisu ni kama tishio kwa mpendwa wetu hii lazima izue tafurani
Sent using Jamii Forums mobile app
Msajili angeadhibu moja kwa moja baada ya kumaliza kueleza sababu angesema kwa barua hii nawafutia usajili moja kwa moja
Kwa kosa la kumnyima usingizi boss waoAkifutie kwa kosa gani hasa?
Kuna mmoja alikuwa Iringa kahongwa u DC wa Arusha Kama fadhila baada ya kuwatishia kuwauwa Zitto na MboweHebu Fikiria yule kiongozi wa umoja wa vijana wa CCM akihimiza kuwapiga wapinzani. Lakini kwenye hayo huwezi kumuona msajili akisema kitu.
Hajawahi shinda chochote bila kubebwa maishani, hawezi ushindaniTaharuki mpya imeibuka ndani ya chama cha ACT Wazalendo baada ya uwepo kwa uwezekano mkubwa wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama vya siasa.
View attachment 1509112
Mpaka tufike Oktoba kuna mengi na kinachopangwa ni Magufuli kupita bila mpinzani
Ila patawaka moto!
Waambie hao hata leo tu waende Kariakoo kwa Wamachinga wawaulize msimamo wao, kwa mwaka huu Wayaongea mengi kujifariji, lkn hakuna threat , labda 2025 nfio wafikirie hivyo.ACT sio threat mbele ya CCM.
Stupidity kabisa mazito ya ccm tume ipo likizo
Hakuna kosa lolote lenye msingi wa kisheria ambao ACT wamevunja na hata kama lingekuwepo bado asingeweza kukifuta maana sheria inasema msajili hawezi kufuta chama kama imebakia chini ya miezi 12 kabla ya uchaguzi na sasa imebakia kama miezi mi3,kwahiyo msajili atasubiri sana!!Duh, yaani huoni makosa kweli au kipofu wa akili! Huyu msajiri mbona anapodoapodoa Sana!? Hebu kifutilie mbali ili liwe fundisho kwa kanjanja wote na ukuwadi wao kwa mabeberu! Wengine tunayo nchi hii tu ya Tz! Hawa wenye urais wa DRC, Oman, na Canada wasituvuluge Bali tuwAvuluge wa
Bila kuifuta ACT, CCM haina chake Zanzibar. Hongera Msajili kwa kuliona hilo!Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?