kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ndio maana sijabisha!Kwani ni uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana sijabisha!Kwani ni uongo?
Mie naona nguvu ya Maalim kule Zanzibar ndio chanzo cha yoteJana aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe alitangaza rasmi kujiunga na chama cha ACT Wazalendo
Mchakato wa Membe ulianza zaidi ya miezi minne iliyopita huku serikali ikifuatilia kwa karibu...
Ngoma ikivuma sana hutaka kupasuka. Kwa kuwa waliopewa mamlaka badala ya kutumia weledi wenye kuzingatia maadili na uadilifu ndani ya kazi zao, wanageuka kuwa nia mbovu. Imefika wakati ambapo mbeleko la chama dola linaanza kuchanika.
Yaani bila aibu mtu mwenye dhamana kubwa anatoa sababu ambazo hata kwenye michezo ya watoto hazipo. Msajili anataka kukiadhibu chama kwa sababu viongozi walihamasisha wanachama kusimamia haki za chama chao? Chama kulinda mali (ofisi) zake ? Ndio maana siku zote naamini kwamba wanao ilinda amani ya nchi ni viongozi wa upinzani.
Wamevunja sheria gani mkuu?Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?
Iibarua lireefu kumbe ni mkwara tu, huyu msajiri vipi? Mie nilitegemea akifutilie mbali moja kwa moja...kichaga chenyewe kinaongozwa na mkongomani futilia mbali tu ili tuone mabeberu wao watapitia wapi!
Sheria ipi wamevunja?CCM ndio hawavunji sheria?Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?
Dua la kuku...... [emoji41]R.I.P CCM
Duh, yaani huoni makosa kweli au kipofu wa akili! Huyu msajiri mbona anapodoapodoa Sana!? Hebu kifutilie mbali ili liwe fundisho kwa kanjanja wote na ukuwadi wao kwa mabeberu! Wengine tunayo nchi hii tu ya Tz! Hawa wenye urais wa DRC, Oman, na Canada wasituvuluge Bali tuwAvuluge waAkifutie kwa kosa gani hasa?
PropagandaWhy wanahaha?
Kwani lzm isomwe hadharani, si unaeza somea bedroom kwako, na km ndivyo policcm watajuaje??Jaribu kusoma , kama hautaunganishwa na viongozi wa Uamsho, kule gerezani
Wafute vyama vyote ibaki fisiemu peke yake kwa maana ndio inaleta maendeleo ya nchi!!!Kwani ikifutwa ACT yeye Membe yawezi kujiunga Chadema akagombea?