AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kivipi! Hebu fafanua ACT inataka kuiuwa Chadema kivipi?ACT naunga mkono maana wao wenyewe wanataka kuia chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi! Hebu fafanua ACT inataka kuiuwa Chadema kivipi?ACT naunga mkono maana wao wenyewe wanataka kuia chadema
Kivipi! Hebu fafanua ACT inataka kuiuwa Chadema kivipi?
Hilo ndilo hitimisho la hoja hii, CCM inamwogopa Maalimu Seif na wanajua kuwa katika chaguzi zote za Zanzibar toka 1995 Nyerere alipoenda kubadilisha matokeo kwa nguvu, hawajawahi kumshinda Seif na wanaona bado anaushawishi mkubwa hivyo kumweka pabaya mgombea wa CCM.Hofu yao kuu zaidi ni Zanzibar mkuu.
Si vizuri kuwaachia CCM Zanzibar.
Kwa hiyo unachotaka wewe Act wamsapoti Lisu! Lisu hawezi kumbea uraisi maana atakua amewekwa ndani. kama unabisha subiri uone.Wanataka eti chadema wasimsimamishe Lissu badala yake wamsaport Membe this is unacceptable.
Wanamuhofia Seif Zanzibar! Hawajasahau alivyowagalagaza 2015 mpaka kufuta uchaguzi!ACT sio threat mbele ya CCM.
Kwa hiyo unachotaka wewe Act wamsapoti Lisu! Lisu hawezi kumbea uraisi maana atakua amewekwa ndani. kama unabisha subiri uone.
Weweee! Kila mmoja anatumia mbinu zake kushinda uchaguzi, sasa wewe baada kutafuta mbinu mbadala endelea kulialia.Kuwekwa ndani kwa kosa gani acheni kukalili.
Soma vizuri malezo ya msajili, acha kupindisha ukweli. wanachotakiwa ACT Wazalendo ni kukaa na ofisi ya msajili kumaliza hili kwa amani. ushahidi umetolewa na msajili namna ambavyo sheria imevunjwa.Jana aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe alitangaza rasmi kujiunga na chama cha ACT Wazalendo
Mchakato wa Membe ulianza zaidi ya miezi minne iliyopita huku serikali ikifuatilia kwa karibu
Baada ya hivi karibuni kujiridhisha kwamba atajiunga na kuna uwezekano vyama pinzani vikamsimamisha kuwa mgombea wao,serikali kupitia ofisi ya msajili ikaibuka na kituko cha mwaka kwa kuwaandikia ACT barua ya kuwajulisha nia ya kuwaadhibu...
Huu ni ubinafsi uliopitiliza! watu kama nyinyi hamueleweki mna malengo gani.Naona michezo ya kikachero imeanza,Hio ni Zuga tu ili ionekane ACT nao wanapitia Magumu kama ya Chadema.
HAKUNA HATUA ZOZOTE ZITACHUKULIWA DHIDI YA ACT.
Nadhani kwa ushetani huu ni dhahiri kuwa mmewachoka Watanzania na hasa uvumilivu wao.Basi tena lissu sio tishio dadeeki CCM inawaimbisha viiitikio tofauti!
Mambo ya kuhisi mimi huwa siamini. Ndio maana nacheka
Na jinsi Zitto alivyopiga bao jana. Chadema ndio byebye.
Msajili kanusa ya Malawi, Ghana, Congo, Zambia na Kenya yanakuja Tanzania kaamua kuja na hicho kioja pasipo kujua Athari zake
Sheria zipi? Sheria haramu za Msajiliccm?Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?
Kosa hakuna na halipo lakini CCM wamemwamuru Msajiliccm aunde abuni atengeneze kosa feki awabambikie ACT wapate kuwakomoa kwa kuwafuta tu, CCM ya sasa ni waonevu watupuAkifutie kwa kosa gani hasa?
Wanadhani kwa kumtumainia shetani na 'yesu' wa Burigi, (wao) watabaki salama.CCM imekamata utambi inatafuta kiberiti , likiwaka wasifikiri watatoka jahazini , TUTAZAMA SOTE
Hawana ubavu wa kupambana kwenye uwanja SAWA.Kosa hakuna na halipo lakini CCM wamemwamuru Msajiliccm aunde abuni atengeneze kosa feki awabambikie ACT wapate kuwakomoa kwa kuwafuta tu, CCM ya sasa ni waonevu watupu