Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

Msajili angeadhibu moja kwa moja baada ya kumaliza kueleza sababu angesema kwa barua hii nawafutia usajili moja kwa moja
 
Magufuli anaogopa nini?Mbona sioni wa kumshinda unless wapinzani waungane.

Hata wasipoungana, Magufuli hana uwezo wa kushindana kwa hoja. Hiyo kudhibiti vyombo vya habari ndio umeona hana mshindani, maana anahubiri yeye kila siku.
 
Msajili angeadhibu moja kwa moja baada ya kumaliza kueleza sababu angesema kwa barua hii nawafutia usajili moja kwa moja

Ni kweli, maana chama imara CCM hakitaki ushindani!
 
Uonevu una mwisho mbaya sana.. katiba mpya ni muhimu katikat nchi yetu.. mamlaka ya raisi kuteua msajili wa vyama vya siasa, mkt wa tume ya uchaguzi, majaji na mwanasheria mkuu wa serikali yanapaswa kuondolewa ili kuleta haki na utawala bora ktk nchi!
 
Hawa haina haja yakuhangaika nao.. Katika kura milioni 19 zitazoenda kupigwa, kura za upinzani hazitazidi kura milioni moja.. Hivyo Magufuli ana uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 90- A historic landslide victory since the creation of the World.
 
Watu walitakiwa wajue Maalimu aliongea nini na Magu walivyokutana Ikulu.ACT ni chama mkakati,ndio mana Kachero analilia kuungana aimalize kabisa Chadema ambayo walau imebakia na elements zaupinzani wa kweli,ila bado sijawa na imani ya hakika na Nyalandu

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Maalim hanunuliki ww yule ni mtu muaminifu na wala siyo mtu tamaa wa pesa yule ni tajiri wa imani na huruma na muokozi wa wa zanzibar
 
Taasisi nyingine zinapika machafuko ya Amani Tanzania
 
Waache watu washindane kwa hoja. Wataosababisha maafa Tanzania ni CCM na vibaraka wake. Hauwezi kufuta chama kwa kusema uchaguzi utakuwa wa kufa na kupona. Akina Mawazo waliuawa kwa mapanga na wana-CCM. CCM ilifutwa kwa hilo?
 
Taharuki mpya imeibuka ndani ya chama cha ACT Wazalendo baada ya uwepo kwa uwezekano mkubwa wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama vya siasa....!
Bado sijaamini kuwa ni nia ya dhati ya msajiri au bado ni sinema ya kihindi.

Nitaamini akikifuta tofauti ni hili nitaendelea kuamini kuwa wanatupumbaza tu, mchezo wa act, serikali na msajiri ni mmoja
 
Hawa haina haja yakuhangaika nao.. Katika kura milioni 19 zitazoenda kupigwa, kura za upinzani hazitazidi kura milioni moja.. Hivyo Magufuli ana uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 90- A historic landslide victory since the creation of the World.
CCM itashinda ila idadi ya wapiga kura haiwezi kufika hata milioni 5 nchi nzima. Nani akapoteze muda kumchagua mtu akatajirike yeye na familia yake kwa kipato cha 14 milion kwa mwezi wakati mpiga kura familia yake ipo hoi kiuchumi, watoto wake hawana kazi wapo nyumbani. Hili mbona alihitaji hata uende darasa la kwanza ili un'gamue.
 
Akifute tu nguvu iwe moja CHADEMA na CCM activities iinhie hull kwenye cdm
 
Sijawahi kuwaamini act, hakuna chama pale bali wachumia tumbo, futilia mbali hyo taka taka. Japo mfutaji mwenyewe ni dhalimu.
 
Back
Top Bottom