Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

Hebu Fikiria yule kiongozi wa umoja wa vijana wa CCM akihimiza kuwapiga wapinzani. Lakini kwenye hayo huwezi kumuona msajili akisema kitu.
Msajiliccm hawezi kuigusa CCM hata polepole akichukua mke wa lijuakali alale kwake week kisha wapige nae mikutano hada saa nane usiku
 
Msajiliccm sasa kaamua ajitose kwenye kamati ya roho mbaya ya Cyprian Musiba Le mutuz na wenzao
 
Siamini hiyo michezo ya msajili, hizo ni mbinu zile zile alizosema Mzee Tupatupa jana, wanajaribu kukikuza hicho chama kionekane threat, hakuna lolote hapo.

Membe hawezi kuwa threat kwa CCM hata siku moja, Lissu is.
Au pengine anawagonganisha wapinzani ili waanze kushindana na kuchukiana halafu wawe dhaifu na kisha apate ushindi kirahisi.
 
Upupu wameshajipaka, kujikuna ni kuendelea kuwashwa. Busara ni muhimu katika kulinda amani ya taifa letu.
 
Hivi kwanini Serikali haijifunzi? Wanafikiria wakiifuta ACT wazalendo, wanacham wake watahamia ccm?

Hilo ni suala ambalo haliwezekani,watahamia chama kingime cha upinzani na upinzani uendelelee kwa kasi kama kawaida! Walikihujumu chama cha CUF kupitia Prof Lipumba,kwa mawazo yao walidhania ndio wamemaliza kazi, kumbe upinzani na wanachama wa CUF wapo ACT wazalendo, mkifuta ACT wazalendo watahamia chama kingine upinzani sio chama, ili mradi wananchi hawaridhishwi na yanayotendwa na CCM, watabakia wapinzani,wananchi wanataka haki na uhuru wa kujieleza!
 
Kosa hakuna na halipo lakini CCM wamemwamuru Msajiliccm aunde abuni atengeneze kosa feki awabambikie ACT wapate kuwakomoa kwa kuwafuta tu, CCM ya sasa ni waonevu watupu
Msajili anachokitafuta atakipata Soon tena itakuwa Zaidi ya Mudhihir Mudhihir.
 
Back
Top Bottom