Uchaguzi 2020 Baada ya Membe na Maalim Sharif kujiandaa na Uchaguzi Mkuu, Msajili aibuka atia nia ya kukifutia usajili ACT Wazalendo

Ukikosea hata kama wewe ni kilema wa viuongo adhabu inabaki palepale
 
Watu walitakiwa wajue Maalimu aliongea nini na Magu walivyokutana Ikulu.ACT ni chama mkakati,ndio mana Kachero analilia kuungana aimalize kabisa Chadema ambayo walau imebakia na elements zaupinzani wa kweli,ila bado sijawa na imani ya hakika na Nyalandu

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mambo Mengine yanaanza kutukumbusha kadi za ACT Tulipo ziweka
 
Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?
Usijifanye zezeta uliyepitiliza,huyu siyo msajili wa vyama,ni msimamizi wa CCM,mbona hajawaandikia barua ya kuwafutia usajili hawala zake hawa hapa.
 

Attachments

  • IMG_20200707_154232.jpg
    152.8 KB · Views: 1
  • IMG_20200707_154022.jpg
    40.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200707_154026.jpg
    40 KB · Views: 1
Yale yale ya Jecha ambaye ni kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kugombea Urais kupitia CCM. Huyu naye ni mtia nia mtarajiwa wa CCM. Nilikuwa sijajua kuwa kumbe msajili wa Vyama vya Siasa kwa sasa ndiye Msemaji wa serikali, mahakama, balozi, na msemaji wa vyombo vya dola! Naona anazungumzia Benki ya Dunia, Polisi, CCM, You Tube, Mahakama, n.k.

Hivi katibu Mkuu wa CCM aliposema wanatawala na wataendelea kutumia dola kutawala alichukuliwa hatua gani? Eti maelezo ya CCM tunaridhika nayo ila ya ACT-Wazalendo haturidhiki nayo. Hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…