Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu ni kada wa CCM amejivika koti la usajili wa vyama vya siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajivunia dola maana haya ni maelekezo ya WaitaraHili bomu wanajiandalia wenyewe litawalipukia.
Bomu la kwanza Tundu lissu anakuja for strategic plans...
Hakuna jema zaidi ya utapeliKama ccm imefanya mema yanayoipa uhakika wa ushindi si waache upinzani upoteze muda kama wanavyodai .. Nini kinawahangaisha!
Magufuli hana anachoogopa na hata waungane wote CCM awamu hii wako vizuri
UVCCM Iringa aliyesema Zitto auwawe mbona msajili wala polisi hatukuwasikia? wapuuzi kabisa
Litatafutwa kwa kurunziAkifutie kwa kosa gani hasa?
Sheria zipiKwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?
Wapi huko mkuuSasa nn kuweweseka kote huko
Usijifanye zezeta uliyepitiliza,huyu siyo msajili wa vyama,ni msimamizi wa CCM,mbona hajawaandikia barua ya kuwafutia usajili hawala zake hawa hapa.Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?
Kama unajiamini umefanya mema weka mazingira yawe fair play tuingie uwanjani. Nawahakikishia ushindi asubuhi tu
Yale yale ya Jecha ambaye ni kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kugombea Urais kupitia CCM. Huyu naye ni mtia nia mtarajiwa wa CCM. Nilikuwa sijajua kuwa kumbe msajili wa Vyama vya Siasa kwa sasa ndiye Msemaji wa serikali, mahakama, balozi, na msemaji wa vyombo vya dola! Naona anazungumzia Benki ya Dunia, Polisi, CCM, You Tube, Mahakama, n.k.
Sheria ipi imevunjwa? Katibu wa CCM kusema watatumia dola kutawala si kuvunja sheria?Kwa hiyo wakivunja sheria waachwe tu ?