Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Nyie jidanganyeni, kitawekewa 'sanction' mpaka akili iwarudie! Kwangu Mimi hiyo Sheria ya kutokifuta mwaka mmoja wa uchaguzi inaweza Kuwa overruled kwa maslahi ya taifa!Hakuna kosa lolote lenye msingi wa kisheria ambao ACT wamevunja na hata kama lingekuwepo bado asingeweza kukifuta maana sheria inasema msajili hawezi kufuta chama kama imebakia chini ya miezi 12 kabla ya uchaguzi na sasa imebakia kama miezi mi3,kwahiyo msajili atasubiri sana!!