ibrah0102
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 384
- 642
Jipe moyoIt is always seen impossible, till someone gets it done🤒
Jipe moyoIt is always seen impossible, till someone gets it done🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe moyoIt is always seen impossible, till someone gets it done🤒
Jipe moyoIt is always seen impossible, till someone gets it done🤒
It is always seen impossible, till someone gets it done 🤒Hakuna ndoto mbaya duniani, kama ndoto unaota umeokota hela.
NAKAZIAWewe utakua ndio umemaliza chuo....
Haiwezekani, sasa hapo Hurricane ikija si ni balaa jamani.Mawimbi nayo itakuwaje ?Ipoo madam, tuzidi kuombeana kheri🤒
Moyo wenyewe Sina🤒Jipe moyo
Jipe moyo
Kasumba ya waswahili bhana😁, ccNAKAZIA
Madam ujue kabla ya kujengwa, Kuna ma genius wa ukandarasi wali piga hesabu hizo🤒Haiwezekani, sasa hapo Hurricane ikija si ni balaa jamani.Mawimbi nayo itakuwaje ?
nimekaa pale, uje uniite mshambaKasumba ya waswahili bhana😁, cc
Tumia akili basi,hiyo ni michoro tu mtu kadesign. Ila kwenye maisha halisi ni impossible kuwa na nyumba hapo ya kuishi muda mrefu.Madam ujue kabla ya kujengwa, Kuna ma genius wa ukandarasi wali piga hesabu hizo🤒
Madam Acha ujuaji wa ajabu😁🤒, Hilo ni jumba analo ishi Messi huko Miami😁🤣😂Tumia akili basi,hiyo ni michoro tu mtu kadesign. Ila kwenye maisha halisi ni impossible kuwa na nyumba hapo ya kuishi muda mrefu.
Acha ujinga,hakuna nyumba kama hiyo Miami.Madam Acha ujuaji wa ajabu😁🤒, Hilo ni jumba analo ishi Messi huko Miami😁🤣😂
Na kwanini nikuite, Huku kujitia unabii.nimekaa pale, uje uniite mshamba
I mean no malice to nobodyAcha ujinga,hakuna nyumba kama hiyo Miami.
Madam Hiyo ni project tu, ambayo I'm andaliwa tu🤒Acha ujinga,hakuna nyumba kama hiyo Miami.
Tuzidi kuombeana kheri🤒
Inshallah na iwe hivyo ufanikiwe zaidi ya hapo.....tena kila siku nitakuwa nakutafuta kukuomba aftatu.Wazee tuendelee kupambania Malengo yetu, Hakuna ushujaa wa kuitwa wewe ni bingwa wa kuishi maisha magumu[emoji855]
I mean no malice to nobody
View attachment 2733730View attachment 2733731View attachment 2733732View attachment 2733733View attachment 2733735
mi nashangaa watu wame kuwa na chuki ghafla🤣😂Naona umetumia ubongo walo vizuri, unafanya simulation hadi kwenye ubongo.