Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Tumia akili basi,hiyo ni michoro tu mtu kadesign. Ila kwenye maisha halisi ni impossible kuwa na nyumba hapo ya kuishi muda mrefu.
Madam Acha ujuaji wa ajabu😁🤒, Hilo ni jumba analo ishi Messi huko Miami😁🤣😂
 
kazz.jpg
 
Back
Top Bottom