Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Sasa kutuonesha picha za nyumba ulizo-screenshot mitandaoni alafu unakuja kujikweza humu kwamba baada ya miaka kumi utaishi humo... unataka tukuchinjie mbuzi au?!

Uliwahi kuona wenye mapesa na mipango yao wanajishaua kutuonesha next-move zao, au techniques zao za utengenezaji pesa na kupiga hatua maishani mwao?! Acha utoto we jamaa!

Au ndo ndoano ya kuwavuliwa wamama wa JF?!
 
Sasa kutuonesha picha za nyumba ulizo-screenshot mitandaoni alafu unakuja kujikweza humu kwamba baada ya miaka kumi utaishi humo... unataka tukuchinjie mbuzi au?!

Uliwahi kuona wenye mapesa na mipango yao wanajishaua kutuonesha next-move zao, au technques zao za utengenezaji pesa na kupiga hatua maishani mwao?! Acha utoto we jamaa!

Au ndo ndoano ya kuwavuliwa wamama wa JF?!
Hasiraa za nini mkuu??, Haujui kuwa 👉infringement of privacy is a criminal offense.
 
Sina hasira na WAPUMBAVU mimi... hakuna mtu anataka kujua your next-move or your personal life... labda hao unaowa-seduce kupitia nyuzi zako. HATUJUANI!

WENI MUHAYA?!
Matusi ya nini, Ume tumia kipimo kipi kujua weakness za watu???
👉Una hisi malengo yana wekwa Huku??, Au hata yaki wekwa SI Kuna Uhuru wa kujadili au🙄
 
Matusi ya nini, Ume tumia kipimo kipi kujua weakness za watu???
👉Una hisi malengo yana wekwa Huku??, Au hata yaki wekwa SI Kuna Uhuru wa kujadili au🙄
Humu kuna MATAJIRI WAKUBWA, WAFANYABIASHARA NA WENYE MAFANIKIO MAKUBWA NA WALIO KWENYE NJIA ZA KUWA MATAJIRI WAKUBWA NA WATU WA KILA AINA WENYE MAFANIKIO. HAWANA HUO USHAMBA NA MASHAUZI KAMA YAKO.

ACHA KUIGIZA NA HAKUNA MWENYE HASIRA NA WEWE! UNAJULIKANA! ENDELEA KUVUTIA MISHANGAZI YA JF
 
Back
Top Bottom