Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
how old are you?Hata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
Ngozi nyeusi ni nyeusi tu ,hao ma negro wanahusudu kalio vizuri sana ..Wazungu ni Race nyingine kabisa tofauti na kina DiddyCassie hana tako kabisaa, sema wanyamwezi kwao tako sio ishu, sio kama sie waswahili. Ingekuwa bongo tungemshangaa Diddy kwanini anachukua flat screen wakati ana pesa chafu, ila kwa 'wazungu' kwao fresh tu. Sema ana sura nzuri sana
huo wimbo aiseeh huwa siuchoki toka miaka hiyo mpka leo ninao yani huwa naudownload tena na tena.Is it you...is you...ohhh no it wasn't you to diddy
Ktk hii nyimbo case alisema anatafuta lover not a friend....sasa has gone long way yo earn a friend not a lover duh....
Nooh that's not me, am Kasie and she is Cassie.
Kwema lakini?
K' Matata.
Usalama mwingi sana, hasa baada ya kujua kwamba huyo sio wewe.
HahaahhahaaMiaka 10 kitu gani Chief ? Babu alimuacha bibi wakiwa na miaka 65 ya Ndoa na maisha yakaendelea .
Sema eti walikuwa wanaenda kusalimiana
Wewe mliyezaliwa kwa mama yenu kutoka kwa baba mmoja unaweza sem hivyo, ila ambao wamezaliwa kwa mama tofauti hawatakuelewa hata kidogo, bila wake wengi ama michepuko wengi tu humu JF wasingekuwepo, wacha watu wazaliwe bwanaHata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
ilikuwa matata Sana ile mkuu ...Aisee ile album yake nilikuwa naipenda mno, hasa ule wimbo wake IS IT U?
hahaa sialikuwa ana jua kuwa tasnia imejaa sana umalaya.. na huo ndio ukweliDiddy alimkatazaga kwa wivu wake...
Watarudiana tu hawa....ndo maana Diddy akiulizwa hasemi kama wameachana!View attachment 902516
There is something there, between these two.
10 years no kids?
View attachment 902515
Look at that!
Sean Combs lazima atabadili mawazo na kwenda kupiga goti kwa Cassie kuomba msamaha.
Ahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...u made my night mkuuAisee kama huwa unakosea kuchagua lawama usitutupie wote.....
Kipindi kile Jlo hakuwa na mshiko mkuu!...alikuwaga kaigizaga movie inaitwa wedding planner hata haikuvuma kivile...so diddy alivyoanzaga kumla ndo akajulikana duniani na madeal akaanza kuyapata na kile kile kibao chake cha ' if u had my love' alitungiwa na kurekodiwa bure na Diddy...ndo maana mama mtu alikuwa anasema mwanae anachunwa!Kumchuna kivipi wakati naye ni tajiri? Hofu yake tu, maana hata kama anamchuna hawezi kumchuna kama wanavyomchuna maskini kina Cassie. JLo sema itakuwa hakumfeel jamaa, ilikuwa ni mahusiano ya showoff tu. Kama alikuwa radhi kutoka na madensa wake na kuwahonga why ashindwe kukaa na Diddy mwenye pesa?
Sura A+Cassie hana tako kabisaa, sema wanyamwezi kwao tako sio ishu, sio kama sie waswahili. Ingekuwa bongo tungemshangaa Diddy kwanini anachukua flat screen wakati ana pesa chafu, ila kwa 'wazungu' kwao fresh tu. Sema ana sura nzuri sana
Sure mkuu[emoji122]Jamaa mjanja sana aliogopa akimpeleka church au aki mdhibitisha kisheria wakiachana itakua 50/50 kugawana utajiri ila hata yule maza wa didy mkaksi balaa alimkataaga jlo kwamba anamchuna diddy.
Hajatoswa sema bidada hasira za cheating kamkimbia jamaa!Kafanya vibaya sana.....mtoto wa watu kaacha njemba kibao amegandana nae leo anakuja mtosa dakika za majeruhi
Mmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hawa wanashikishana ukuta.....wanapeana zamu nani aanze na ndiyo maana hawaachani. Wana siri kubwa sana.
Ofcourse kwa sababu na yy Diddy ni malaya hafai...hahaa sialikuwa ana jua kuwa tasnia imejaa sana umalaya.. na huo ndio ukweli
Prenup agreements za kazi gani sasa?Jamaa mjanja sana aliogopa akimpeleka church au aki mdhibitisha kisheria wakiachana itakua 50/50 kugawana utajiri ila hata yule maza wa didy mkaksi balaa alimkataaga jlo kwamba anamchuna diddy.
kabisaOfcourse kwa sababu na yy Diddy ni malaya hafai...