Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Mazoezi mazoezi na kuzingatia kula vzr na mm nimeshangaa kumuoana Janet jackson hazeeki jamani,jenifer lopez duuh
Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao

azoezi
 
Huyu mtoto Kweny movie ya The perfect match alitisha sana...Diddy anaaachaje huu mzgo kizembe
 
Muombe Mungu mwanamke wako asiwe anachepuka, au utakua unamsamehe akikuchepukia???
 
Mwaka 2006 hiyoo,
Siku Ryan Leslie anampeleka Cassie kwa P Diddy, masikini hakujua kwamba anafanya makosa.
Manzi akamgeuka mchizi na akaaenda kwa mnyamwezi Diddy, leo hii manzi kapigwa chini kisa kazeeka

CC: Mzee Kigogo
 
Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao
Nahisi ana damu nzuri,, pia mazoezi na pesa pia, hanaga stress huyo mwamba,, kati ya watu ambao hawaamini ndoa ni cha furaha,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao
mwingine ambaye kagoma kuzeeka ni mwanahiphop Nas.

black community kwenye social media huwa wanamtania kwa kumuita vampire. wakimfananisha na viumbe wa ajabu nyonya damu ambao inasemekana wanaishi karne nyingi duniani bila kuzeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…