Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Ukishaichapa utabadili mawazo, kama umeichapa na bado unajitumisha meseji basi huyo dem kashatinga kilingeni
 
kwa age yako ni sawa kijana, ndio muda wako wa kupata mtu sahihi wa kuoa na kuanzisha familia.

but NOTE: usifuate zaidi hisia ya kumtamani kingono, jiridhishe na tabia pia.
 
Kwahiyo, kabla ya miaka 28, yaani ulipokuwa na mika miwili (maana sasa una 30), ulimpenda nani?
 
Kwahiyo, kabla ya miaka 28, yaani ulipokuwa na mika miwili (maana sasa una 30), ulimpenda nani?
Namaanisha haya mambo ya kupenda kishamba hivi ni ya watoto wa miaka ya balehe..
Haya masuala nilikutana nayo nilivokua darasa la sita, form one na form two
 
kwa age yako ni sawa kijana, ndio muda wako wa kupata mtu sahihi wa kuoa na kuanzisha familia.

but NOTE: usifuate zaidi hisia ya kumtamani kingono, jiridhishe na tabia pia.
Hana tabia yyte nazan n kisuri suri cha mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…