Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Mapigo ya moyo paaa. Ikiingia hata sms ya YAS unajua ni yeye.
Anyway, hawa viumbe hawahitaji kupendwa, mpaka akuelewe mwenyewe. Usisahau, hakuna mwanamke wa kuwekeza sehemu hajaweka moyo hata ukimuonga meli. Hizo za mvumilie atabadilika, labda akiachwa na ampendaye ila akirudi umekwisha pia.
Pole, Mr Nice man.
 
Isee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukitaka kumpotezea tafuta single mother kwanza ujilie zako maini, halafu baadae utajiona bonge la fala kuendeshwa hisia zako na hako katoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukitaka kumpotezea tafuta single mother kwanza ujilie zako maini, halafu baadae utajiona bonge la fala kuendeshwa hisia zako na hako katoto.
single maza tena
 
Kupenda hakuna age maalumu
Enjoy muda huu maana ukiupoteza huwezi upata Tena

Nothing is permanent
 
Achana na mapenzi mkuu fanya mambo mengine au unasemaje mh.@Smart911
 
Sio hupendi pesa, hujazipata ! Kina Elon wanazisaka usiku na mchana alafu kuna kenge imevimbiwa makande inasema haipendi pesa
 
Mimi Nadhani ni Ile chemistry tuliyokuwa Nayo ndio inayo nitesa nothing much maana kama ni Mademu wazuri ninao kuzidi yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…