Para ya 1 , nasemaje Yupo."Wanawake hawa hawa hutoa zaidi ya laki kwa wanaume waliokutana nao baada ya siku 2 tu, achilia week, inategemea na ushawishi uliopo baina yao."
Hayupo huyo mwanamke.
"Na km bikra ni jukumu la mwanamke, mbona wanaolia kuikosa ni wanaume?"
Hamna mwanaume anayelia kuikosa bikra, hapa ni sawa ukute mteja analalamika mbona Mastafeli hadimu, halalamiki bali anaonesha uhitaji wa Mastafeli hamna anaye lalamika. Mnaye lalamika ni nyinyi, ukiangalia Podcasts hasa za nje, swali ambali wanawake huwauliza wanaume why tunaprefer bikra au low body counts, so majibu yetu sometimes yanaonekana kama malalamiko, ila ndio kweli uhitaji wetu.
We si mzima.
"Hilo kosa la bikra, linahusika kwa wote wawili wafanyao kuitoa kabla ya ndoa, sasa iweje lawama iwe kwa ke pekee?"
Unamiliki kiwanja then akaja mtu akakushawishi, kukigawa bure so we unazani nani atabeba lawama? au inamaana wewe mmiliki ni bwege huna akili.Kwa akili zako wewe unaweza ukatoa hata ini, kisa umeshawishia kuna uwezekano unakili za kuvukia barabara.
Si unaona sasa...Ni mimi ninasemaga hivyo sio mwingine. Kwanza hiyo ni kauli utani/tambo, sio kila kauli inayoandikwa humu ya kuichukulia serious. Ni kauli ya utani ambayo huwa tunaitumia tukiona mwenzetu kazingua kwa viwango fulani hivi.
Hivi kwa akili zako timamu wewe, kuzaa usaidiwe? 😂 😂 Kwani kipindi unapigwa mashine huku jua ya kuwa utaenda Leba mwenyewe? Na hilo swali si la kuuliza wanaume muulize aliye kuumba.Hear me out; as long as hatusaidiwi kuzaa, basi muelewe ajenda yetu haikuwa 50/50 ya namna hiyo.
Real? how do you tell?Hatuwezi kupinga ni natural hiyo. Shida wanawake hawataki men wapeane codes.
Not sorry, kwenye mjadala mimiOoh sorry... Niliposema insecurity haikuwa wewe it was general
Well nitaimprove. And what if nikikurudishia madai hayo hayo? Labda una kipimo chako labda nina kipimo changu.Ukiliangalia vizuri utagundua urging Yao sio kwa logic imejaa hisia sana.
(unfortunately niliwahi mwambia mtu hivi akasema nina kwepa mjadala na inaonekana sijui nilichokuwa nakisema ) 😂 Ni ngumu kiasi gani kuelewa kuwa mada zingine ni pana sana na zina literature zaidi ya elfu 10 (may be )Sasa inabidi tufungue literatures na mjadala utakuwa mrefu sana en I'm not ready for it. Muda mrefu sana niliwahi kuwa na mjadala na member Furani kuhusu hili and it was so long.
Huwa inasimama kabla ya usahihi. Hakuna mwanaume anayesubiriaga kupewa usahihi kwenye hili, kwahiyo msidogoshe reproductive labour.Not our concern kuachwa ,, swali jee itakuwa sahihi huduma isimame??
Kuyatazama maumbile kwa Ujumla wake au kwa baadhi ya mambo yatakayo wa favour Ninyi?
Mana wanaume nao Wana bailogical potentials zao.
Apology.Unanipachikia maneno,,, this is not Fair!!!!
😅😅😅😅 Sio kwamba sikukuelewa, Iko hivi; Labour zote ambazo mwanamke anazifanya bure kama mchango wake katika kujenga mahusiano, inachukulia kama default-provision, wakati huo huo it can be charged ikiwekewa msingi wa ajira (labour)Naona mkuu umeanza kutumia hisia hapa tunajadili logic,,, Sasa mambo ya kuwa Mimi namlipa mke wangu naona sio sawa.
Mmhh mkuu stick Kwenye logic. Sio hisia Mimi nimechallenge msingi wenu na reason yenu feminism Kwenye inequality in provision,,, so unatakiwa unijibu logically sio kwa hisia.
It's just a challenge mkuu.
Ohhhh! You again with same BS.Si unaona sasa...
Sikukosea nilipo sema ya kuwa una toxic manipulation... Kwanza hujui unachoongea... Mtu akija kuku challenge unakumbuka ulikuwa wrong, alaf una hide kwenye zone ya matani... Kumbe hauna u honesty wa aina yoyote wale wale kasoro tarehe.
Atakaye fanya mijadala na huyu kiumbe binti kiziwi anajisumbua tuu. She playing and using her manipulative tactics kwanza anaiba ideas za wanaume alafu amazitwist.. Kufidishia feminism.
Hivi kwa akili zako timamu wewe, kuzaa usaidiwe? 😂 😂 Kwani kipindi unapigwa mashine huku jua ya kuwa utaenda Leba mwenyewe? Na hilo swali si la kuuliza wanaume muulize aliye kuumba.
Aisee hivi mko timamu kweli, yaani unaingiza swala la kuzaa kwenye mizani? Kuzaa ni wa jibu wako biologically usitumie kama nyenzk ka kutaka usawa... Usawa unakuja kwenye kulea ila sio wewe kuzaa ulipwe, Atakaye kubaki huu ujinga ni ndezi.
Mimi huwa nikiona kitu hakimake sense sikifumbii machoOhhhh! You again with same BS.
Kwa leo naomba usiqoute tena, probably tutaendelea siku nyingine.
Come on mkuu!!!!!Huwa inasimama kabla ya usahihi. Hakuna mwanaume anayesubiriaga kupewa usahihi kwenye hili, kwahiyo msidogoshe reproductive labour.
Bado tunakung'ang'ania hapa kwamba Ikiwa Mwanamke Hana uwezo wa kwenda labor kwa sababu hii au Ile jee itafuta nadharia nzima ya kuhudumiwa na mwanaume????😅😅😅😅 Sio kwamba sikukuelewa, Iko hivi; Labour zote ambazo mwanamke anazifanya bure kama mchango wake katika kujenga mahusiano, inachukulia kama default-provision, wakati huo huo it can be charged ikiwekewa msingi wa ajira (labour)
Uko sahihi, hapo sisi tumepelea.Bado tunakung'ang'ania hapa kwamba Ikiwa Mwanamke Hana uwezo wa kwenda labor kwa sababu hii au Ile jee itafuta nadharia nzima ya kuhudumiwa na mwanaume????
Ngoja nikusaidie kwa upande wangu jibu ni HAPANA. Na hakuna anaeweza kuelezea hili bila kutegemea au ku_refer patriarchy.
Yaani ni Patriarchy Pekee ndio inayoweza kujibu why Mwanamke Bado ana haki ya kuendelea kuhudumiwa hata kama Hana uwezo wa kuzaa...
Alaf ujue wanawake huwa hawaoni kuwa mfumo dume haukuwa wrong, tuliwaiga tu wanyama, ila by advancement and evolution bado ili make room kwa ajili ya kuwapa rights hawa wanwake wakasoma, wakapewa uhuru wa kumiliki ardhi na bado hawajui ya kuwa kuna limitations... Mwanamke hatosheki...Yaani ni Patriarchy Pekee ndio inayoweza kujibu why Mwanamke Bado ana haki ya kuendelea kuhudumiwa hata kama Hana uwezo wa kuzaa
My words on your words.Alaf ujue wanawake huwa hawaoni kuwa mfumo dume haukuwa wrong, tuliwaiga tu wanyama, ila by advancement and evolution bado ili make room kwa ajili ya kuwapa rights hawa wanwake wakasoma, wakapewa uhuru wa kumiliki ardhi na bado hawajui ya kuwa kuna limitations... Mwanamke hatosheki...
Hakika ni vile tu watu wahaangalii mambo deeplyMy words on your words.
Unajua mkuu patriarchy is more advantageous kwa wanawake kuliko Feminism (tatizo Wanaangalia mambo Juu Juu)...
Ni vile tuu walishindwa kutumia busara kuzisema tamaduni na mila Mbaya zilizokuwepo kipindi Cha patriarchy,, Wao wakaona suluhisho ni kuondoa mfumo mzima. Hapa ndio walikosea sana.
Sawa na kuitia moto nyumba yako kisa ameingia nyoka,, busara ni kufanya linalowezekana kumtoa nyoka sio kuchoma nyumba nzima.
Aisee Yule mdada sijui mmama ni hatari hahahahah Kuna Uzi ilikuwa anaqoute gazeti lefu na hata uandike Nini atarudi na mashambulizi kama vile yale ya Iran na Marekani... Nimeshangaa Kwenye nyuzi kama hizi sioni comment yake!!!!Nime miss sana jadda. Nilimwona alijibu uzi flan recently
She learned her lessons. Yupo sana humu ila kashaona majibu yako wazii kabishana sana na mimi na wengineo wengi mnoo.Aisee Yule mdada sijui mmama ni hatari hahahahah Kuna Uzi ilikuwa anaqoute gazeti lefu na hata uandike Nini atarudi na mashambulizi kama vile yale ya Iran na Marekani... Nimeshangaa Kwenye nyuzi kama hizi sioni comment yake!!!!
Aisee kama Jadda kaelewa basi kazi kubwa mlifanya kwa kweli mana Mimi nilijaribu Kidogo nikasema huu mziki siuwezi nikakimbia na JF nikawa naogopa kuingia hahahahahShe learned her lessons. Yupo sana humu ila kashaona majibu yako wazii kabishana sana na mimi na wengineo wengi mnoo.
Mimi huwa naona tukiweka ego pembeni majibu huwa yako wazi mno